Ilikuwepo katuka ubao wa kuhifadhia mambo uitwao "Lawhul mahfudh".Kabla ya hapo hakikuwepo siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwepo katuka ubao wa kuhifadhia mambo uitwao "Lawhul mahfudh".Kabla ya hapo hakikuwepo siyo?
Quran ishapitwa na wakati sheikh usikaze kichwa...wenzako sasaivi Saudia wanachinjia wanyama mashine huku kuna Redio speakers kama zile za machinga stendi inajirudiarudia Bismillah Allahu akbar.Qur'aan haitanguliwi na wakati sababu Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni muongozo ndiyo maana hata Sayansi inakosolewa na Qur'aan.
Kabla ya hapo hakikuwepo siyo?
Ahahah umebadili tena zile story za 610AD??Quran ilikuwepo tangu enzi za ADAM na hata kabla ulimwengu haujaumbwa
ndo maana kuna habari zake
Sio adam tena?Ilikuwepo katuka ubao wa kuhifadhia mambo uitwao "Lawhul mahfudh".
Unathibitishaje hili?Quran ilikuwepo tangu enzi za ADAM na hata kabla ulimwengu haujaumbwa
ndo maana kuna habari zake
Ahahah umebadili tena zile story za 610AD??
Its Okay kuwa Muongo Lakini atleast basi ujarbu kuwa consistent na uongo wako
Unathibitishaje hili?
Its Okay kuwa Muongo Lakini atleast basi ujarbu kuwa consistent na uongo wako610 ndo mwaka alipoanza kushushia Aya za Quran Mustafa.
Lakini Kuna Aya ambazo zilikuwepo hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu na Adam
Hii sentensi inasimulia kipindi Cha Hitler[emoji116][emoji116]Hizo Aya zinasimulia kipindi adam alipotaka kuumbwaView attachment 1675762
Hiki ni nini umeweka?Hizo Aya zinasimulia kipindi adam alipotaka kuumbwaView attachment 1675762
Aliyohubiri Isa aka Yesu hayakuhifadhiwainjili ya Issa iko wapi?
Adamu kafanyaje tena ?Sio adam tena?
Kwahiyo mchizi hapo chini kanidanganya?
Hahaha,sawa,lakini unajua tafauti ya Hadith na Quran?mi naongelea sahih bukhari wewe unaniwekea Quran
..jamaa aliulizia hadith nisema hyo bukhari 4:421
Aliyohubiri Isa aka Yesu hayakuhifadhiwa
Katika Bibilia agano jipya yako maneno machache sana ambayo alihubiri Yesu
Kama unaijua red bible,yale.maneno yote yaliyopigwa mstari mwekundi ndio maneno ya Yesu
Nafikiri unajua kuwa hii biblia tunayotumia imeandikwa na watu zaidi ya Arubaini (40)ambao hawajulikani.,
Paulo kandika asilimia 70% ya agano jipya..
NdiyoHahaha,sawa,lakini unajua tafauti ya Hadith na Quran?
kaaz kwel kwel610 ndo mwaka alipoanza kushushia Aya za Quran Mustafa.
Lakini Kuna Aya ambazo zilikuwepo hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu na Adam
Tangu enzi za Olduvai na Neanderthal watu waliona Jua linajongea angani. Kwa kiwango chake.Sijui nitakuwa naharibu uzi wako!! Kuna facts kadhaa za kisayansi ndani ya quraan, nitakuwa naandika zile ambazo nimebahatika kuzisoma..
Sura yasin
38. Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Hapa mola anazungumzia jua kujongea, ni miaka mingi saana imepita ndio wanasayansi wanakuja kugundua jua linajongea miaka hii huku, quraan ambayo IMESHUSHWA karne ya 6 huko..
Hapo tuelewane imeshushwa, kama imeshushwa ina maana ilikiwepo kabla.
Katika quraan kuna mazingatio kabisa kama utasoma kwa tafakuri na akili kubwa.
Allaa kumbeUnaleta story zisizohusiana hapa...kwani paulo kaandika injili?
Mimi sijaulizia maswala ya biblia au kitabu kingine mimi nimeulizia injili ya Issa kama ipo iko wapi?
Nataka nikaisome.