Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Babu hivi unazijua hadithi?
Bukhari katika mlango upi wa hadithi? Na hadithi nambari ngapi?

Ngoja niiangalie tafseer ya Ibn katheer kwenye hiyo aya! Nitarudi hapa hapa!
mzee siku ya tatu sasa...au bado?
 
unajua hata ukiita mtu asiyejua kusoma na kuandika au kichaa au mtoto mdogo ukampa kalamu na karatasi ukamwambia aandike hilo karatasi mpaka lijae na wino....Yeye atachoronga choronga tu lakini baada ya hiyo michorongo ukiamua kutafuta herufi zilizojitokeza hutakosa..Lazima michorongo mingine itafanana na C,g,p,d,b,l,e nk. nk.
Ukilazimisha zaidi unaweza kupata hata maneno yaliyojitengeneza.

Kutafuta Miujiza kwenye quran ni sawa na kutafuta hizo herufi

kutafuta fact za kihistoria kwenye Quran ni sawa na kutafuta maneno kwenye michorongo

Kutafuta Sayansi kwenye Quran ndiyo kabisaa ni sawa na kutafuta sentesi zenye maana kwenye hiyo michorongo.
Kwanza kabisa Qur'aan tu yenyewe ni muujiza,kama utaamua kuisoma na kutafakari.

Lakini Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni muongozo kwa watu na kwa wale wamchao Allah aliye juu.

Makosa mengi wanayo yafanya watu wengi wanao jivika vazi la utetezi wa Uislamu ni kupotosha maana za aya na kulazimisha zifate Sayansi wakati hili si sahihi, Qur'aan ndiyo kweli yenyewe na Sayansi inatakiwa kuifata Qur'aan.

Sayansi ni nadharia zilizojengeka katika majaribio, na hakuna Facts katika Sayansi zaidi ya ubahatishaji.

Sayansi inakumbwa na tatizo kubwa sana la kufikia hitimisho juu ya jambo fulani, ma hili tatizo litawakumna mpaka wanakufa hii ni kulingana na misingi yake. Kwahiyo kulazimisha aya ziendane na sayansi ni kuikosea adabu Qur'aan.
 
Basi poa nishakutajia hadith ni bukhari na mufassirun ni Ibn kathir.
Kuna lingine?
Andika marejeo vizuri si sahihi kuandika "Hadithi ni bukhari" sahihi ni "Hadithi ipo ndani ya Sahihi al Bukhari au useme hadithi imepokelewa na bukhari".

Pili, si sawa kuandika "mufassirun ni Ibn Kathir" sahihi ni kuandika katika wafasiri ni ni Ibn Kathiri katika kitabu chake,unatujia na kitabu chake au marejeo husika. Tamko "Mifassiruun" ni wingi.
 
Sawa mwalimu wa lugha
 
Kwanza kabisa Qur'aan tu yenyewe ni muujiza,kama utaamua kuisoma na kutafakari.

Lakini Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni muongozo kwa watu na kwa wale wamchao Allah aliye juu.

Makosa mengi wanayo yafanya watu wengi wanao jivika vazi la utetezi wa Uislamu ni kupotosha maana za aya na kulazimisha zifate Sayansi wakati hili si sahihi, Qur'aan ndiyo kweli yenyewe na Sayansi inatakiwa kuifata Qur'aan.

Sayansi ni nadharia zilizojengeka katika majaribio, na hakuna Facts katika Sayansi zaidi ya ubahatishaji.

Sayansi inakumbwa na tatizo kubwa sana la kufikia hitimisho juu ya jambo fulani, ma hili tatizo litawakumna mpaka wanakufa hii ni kulingana na misingi yake. Kwahiyo kulazimisha aya ziendane na sayansi ni kuikosea adabu Qur'aan.
Tatizo sio la wanaobadilisha tafsir..tatizo ni la dunia..Dunia saivi imebadilika sio kama enzi za muhammad.
Sasaivi watu wanaishi kwa wanachokijua na kuhakiki..Sasaivi ni ulimwengu wa sayansi na Teknolojia
Sasaivi elimu ni kubwa na ni ya watu wengi sio ya wachache tu...
Sasaivi maarifa ni rahisi zaidi kuyapata na yanatembea kwa kasi ya ajabu.
The age of beleiving is gone,Now it is the age of knowing and experimenting.
Sasaivi watu hawaamini Blindly sasaivi watu wanataka kuwa consistent na uhalisia

kwahyo hawa masheikh kwa juhudi za kukeep up with the world ili dawah isife inabidi wabadili tafsir za Quran ziendane na maisha ya sasa.

Teknolojia inaumbua Quran..mfano uwepo wa Satelite,Usafiri rahisi imekuwa rahisi kunavigate dunia nzima na inatia ukakasi kwa mtu sasaivi kuamini kuwa kuna sehem duniani kuna watu walifungiwa ndani ya geti na Alexander,hawawezi kutoka mpaka siku wakisema Inshallah...au kuna sehem jua huwa linaenda kuzama nk. nk.

Sasa hii ni aibu kwa masheikh wengi na nilichogundua siku hizi tafsir wanabadilisha na hadith ambazo hawazipendi wanazitoa online,Tafsir zingine wanazifuta au wanaweka watered down version..mfano mzuri ni za ibn kathir za matandaon nyingi masheikh wamezichakachua.
 
Qur'aan haitanguliwi na wakati sababu Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni muongozo ndiyo maana hata Sayansi inakosolewa na Qur'aan.
 
Back
Top Bottom