Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kutoka Angani, kikashuka chini puuuh...!NASIKIA HIKI KITABU KILISHUSHWA??
Hivi kilishukia ardhini, mikononi au kichwani kwa Mudy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka Angani, kikashuka chini puuuh...!NASIKIA HIKI KITABU KILISHUSHWA??
Na linaenda kuishia kwenye tope. Mbona humalizii sheikh?Sijui nitakuwa naharibu uzi wako!! Kuna facts kadhaa za kisayansi ndani ya quraan, nitakuwa naandika zile ambazo nimebahatika kuzisoma..
Sura yasin
38. Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Hapa mola anazungumzia jua kujongea, ni miaka mingi saana imepita ndio wanasayansi wanakuja kugundua jua linajongea miaka hii huku, quraan ambayo IMESHUSHWA karne ya 6 huko..
Hapo tuelewane imeshushwa, kama imeshushwa ina maana ilikiwepo kabla.
Katika quraan kuna mazingatio kabisa kama utasoma kwa tafakuri na akili kubwa.
Jua linapopotea jioni huenda wapi?Mkisikia habari za Quran roho zenu huwa zinawakeleketa sana
Aya za sayansi zipo nyingi sana katika Quran ukizitaka zitakuja kama mvua maana aliyeumba ulimwengu ndio huyohuyo aliyeileta Quran
Chukua na hi nakupa kama zawadi
Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Akili zako zinafanana na mbweha.Kutoka Angani, kikashuka chini puuuh...!
Hivi kilishukia ardhini, mikononi au kichwani kwa Mudy?
Hata mimi sijaelewa mechanism ya sayansi kwenye hiyo aya iko wapi. Nimeamua ku chill tu pengine nimeivagaa aya kwa kuisoma kama gazetiSijaelewa...hiyo ni sayansi kivipi?
Quraan ni pana sijui niseme inahitaji elimu kubwa kidogo kufumbua mafumbo hayo, si kukurupuka wala kuisoma kwa mihemkoNa linaenda kuishia kwenye tope. Mbona humalizii sheikh?
Una akili fupi sana mkuu....kipi usichoelewa hapo?umeishia darasa la ngapi?Sijaelewa...hiyo ni sayansi kivipi?
Chief kwani jua na mwezi haviogelei, unadhani kipindi hiko quraan inasema hayo usikute kuna watu walikuwa wanaamini labda jua na mwezi liko kwenye kitu limekaa, ila kwakuwa sayansi ya siku hizi imegundua hilo kwako ni kituko..Sijaelewa...hiyo ni sayansi kivipi?
sawa wewe mwenye akili ndefu...elezea hiyo sayansi hapoUna akili fupi sana mkuu....kipi usichoelewa hapo?umeishia darasa la ngapi?
Hawa watu shida sana mkuu,Yan hata Kama ukweli anauona wazi ila kwa vile umesemwa na uislam Basi mtu atajifanya vyovyote ili apinge tu.Chief kwani jua na mwezi haviogelei, unadhani kipindi hiko quraan inasema hayo usikute kuna watu walikuwa wanaamini labda jua na mwezi liko kwenye kitu limekaa, ila kwakuwa sayansi ya siku hizi imegundua hilo kwako ni kituko..
Kwenu si sayansi sababu hakuna formula au!?
Chief kwani jua na mwezi haviogelei, unadhani kipindi hiko quraan inasema hayo usikute kuna watu walikuwa wanaamini labda jua na mwezi liko kwenye kitu limekaa, ila kwakuwa sayansi ya siku hizi imegundua hilo kwako ni kituko..
Kwenu si sayansi sababu hakuna formula au!?
toa ushahidi wa uwepo wa hawa watuusikute kuna watu walikuwa wanaamini labda jua na mwezi liko kwenye kitu limekaa
nimepinga??nimeulizaHawa watu shida sana mkuu,Yan hata Kama ukweli anauona wazi ila kwa vile umesemwa na uislam Basi mtu atajifanya vyovyote ili apinge tu.
Sio na Mwamedi wa Mecca?Akili zako zinafanana na mbweha.
NASIKIA HIKI KITABU KILISHUSHWA??
DAAAH AISEEE MKUU NAONA UNATAKA VITA NA MAAMUMA WAARABU WEUSIKutoka Angani, kikashuka chini puuuh...!
Hivi kilishukia ardhini, mikononi au kichwani kwa Mudy?
NASIKIA HIKI KITABU KILISHUSHWA??
Tulisema ujinga tunauacha mwaka jana
usidanganyike..Hizo ni propaganda za waislam wanaobadilisha tafsir za Quran iendane na sayansi
hiyo Sura yasin inasema Jua linatembea na linaenda sehemu fulani husika.(fuatilia kiarab chake)
Sasa wewe unaongelea jua kujongea wakati kipindi hiko watu waliamini Jua linatembea linazunguka Dunia.
Kwahyo jua likizama watu walijua limeenda sehem kujificha.
Maelezo ya muhamad/Allah alimaanisha nini hiyo aya yapo sahih bukhari 4:421
The Prophet asked me at sunset, "Do you know where the sun goes (at the time of sunset)?" I replied, "Allah and His Apostle know better." He said, "It goes (i.e. travels) till it prostrates Itself underneath the Throne and takes the permission to rise again, and it is permitted and then (a time will come when) it will be about to prostrate itself but its prostration will not be accepted, and it will ask permission to go on its course but it will not be permitted, but it will be ordered to return whence it has come and so it will rise in the west. And that is the interpretation of the Statement of Allah: "And the sun Runs its fixed course For a term (decreed). that is The Decree of (Allah) The Exalted in Might, The All-Knowing." (36.38)