Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Unapochanganya sayansi na dini yako unakosea sana
 
Unapochanganya sayansi na dini yako unakosea sana
unajua hata ukiita mtu asiyejua kusoma na kuandika au kichaa au mtoto mdogo ukampa kalamu na karatasi ukamwambia aandike hilo karatasi mpaka lijae na wino....Yeye atachoronga choronga tu lakini baada ya hiyo michorongo ukiamua kutafuta herufi zilizojitokeza hutakosa..Lazima michorongo mingine itafanana na C,g,p,d,b,l,e nk. nk.
Ukilazimisha zaidi unaweza kupata hata maneno yaliyojitengeneza.

Kutafuta Miujiza kwenye quran ni sawa na kutafuta hizo herufi

kutafuta fact za kihistoria kwenye Quran ni sawa na kutafuta maneno kwenye michorongo

Kutafuta Sayansi kwenye Quran ndiyo kabisaa ni sawa na kutafuta sentesi zenye maana kwenye hiyo michorongo.
 
usidanganyike..Hizo ni propaganda za waislam wanaobadilisha tafsir za Quran iendane na sayansi

hiyo Sura yasin inasema Jua linatembea na linaenda sehemu fulani husika.(fuatilia kiarab chake)
Sasa wewe unaongelea jua kujongea wakati kipindi hiko watu waliamini Jua linatembea linazunguka Dunia.
Kwahyo jua likizama watu walijua limeenda sehem kujificha.

Maelezo ya muhamad/Allah alimaanisha nini hiyo aya yapo sahih bukhari 4:421

The Prophet asked me at sunset, "Do you know where the sun goes (at the time of sunset)?" I replied, "Allah and His Apostle know better." He said, "It goes (i.e. travels) till it prostrates Itself underneath the Throne and takes the permission to rise again, and it is permitted and then (a time will come when) it will be about to prostrate itself but its prostration will not be accepted, and it will ask permission to go on its course but it will not be permitted, but it will be ordered to return whence it has come and so it will rise in the west. And that is the interpretation of the Statement of Allah: "And the sun Runs its fixed course For a term (decreed). that is The Decree of (Allah) The Exalted in Might, The All-Knowing." (36.38)
Ngoja tukukamate unafikiri watu ni mazuzu! Hiyo hadithi ipo kwenye mlango gani? Tupatie jina la scholar ambaye ni mufassiruun na kufafanua kama wewe ulivyofafanua hapo juu!
 
Mkisikia habari za Quran roho zenu huwa zinawakeleketa sana

Aya za sayansi zipo nyingi sana katika Quran ukizitaka zitakuja kama mvua maana aliyeumba ulimwengu ndio huyohuyo aliyeileta Quran

Chukua na hi nakupa kama zawadi

Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
 
Sahih bukhari 4:421
Ngoja tukukamate unafikiri watu ni mazuzu! Hiyo hadithi ipo kwenye mlango gani? Tupatie jina la scholar ambaye ni mufassiruun na kufafanua kama wewe ulivyofafanua hapo juu!
View attachment 1673510View attachment 1673511Hapa unaambiwa jua likizama linaendaga kujificha under the throne ambayo ina miguu na inabebwa na malaika...likifika uko linasujudu linaomba ruhusa ya kuchomoza tena kesho...Mawazo ya hivi yaliwezekana kwasabab watu waliamini dunia ni flat lakini kama ni sphere inamaana hailizami kwenda sehem maana kuna sehem tu duniani bado linaonekana hata likizama huko mecca
Screenshot_2021-01-10-11-48-20.jpg
View attachment 1673513View attachment 1673512View attachment 1673514
 
NASIKIA HIKI KITABU KILISHUSHWA??
Hata Injili ya ilishushwa,Alishushiwa Yesu

Unatakiwa uwe mswahiili wa kufahamu kiswahili ndio utafahamu imekusudiwa nini inaposemwa kuwa vitabu vya Mungu vimeshuswa..

Injili(sikusudii biblia) na Kuran mfumo wake ni mmoja

Yesu alihubiri maneno yake kwa watu wake,kile alichohubiri ndio INJILI

Muhammad alihubiri maneno yake kwa watu wake,yale aliyohubiri ndio QURAN..

Hayo waliyohubiri,walishushiwa na Mungu kwa njia za Malaika..

Malaika Jibril/Gabriel walipewa jumbe na Mungu wazifikishe kwa Mitume ili zifikishwe kwa Binadamu..

Hiyo ndio maana ya KUSHUSHWA usifikirie kuwa kitabu kizima kimeanguka kutoka mbinguni..
 
Sahih bukhari 4:412View attachment 1673510View attachment 1673511Hapa unaambiwa jua likizama linaendaga kujificha under the throne ambayo ina miguu na inabebwa na malaika...likifika uko linasujudu linaomba ruhusa ya kuchomoza tena kesho...Mawazo ya hivi yaliwezekana kwasabab watu waliamini dunia ni flat lakini kama ni sphere inamaana hailizami kwenda sehem maana kuna sehem tu duniani bado linaonekana hata likizama huko meccaView attachment 1673515View attachment 1673513View attachment 1673512View attachment 1673514
Hayo ndio yaliyoandikwa kwenye Quran suatil Nisai sura ya 4 aya ya 412,..(4:412)

Sasa hayo mambo ya Jua yametokea wapi??
IMG_20210110_120507.png
 
Hata Injili ya ilishushwa,Alishushiwa Yesu

Unatakiwa uwe mswahiili wa kufahamu kiswahili ndio utafahamu imekusudiwa nini inaposemwa kuwa vitabu vya Mungu vimeshuswa..

Injili(sikusudii biblia) na Kuran mfumo wake ni mmoja

Yesu alihubiri maneno yake kwa watu wake,kile alichohubiri ndio INJILI

Muhammad alihubiri maneno yake kwa watu wake,yale aliyohubiri ndio QURAN..

Hayo waliyohubiri,walishushiwa na Mungu kwa njia za Malaika..

Malaika Jibril/Gabriel walipewa jumbe na Mungu wazifikishe kwa Mitume ilizifikishwe kwa Binadamu..

Hiyo ndio maana ya KUSHUSHWA usikirie kuwa kitabu kizima kimeanguka kutoka mbinguni..
injili ya Issa iko wapi?
 
Kila hadith ina munasabah yake! Usifikiri kila hadith unakoti tu ili kuinasibisha kwenye mazingira unayoyaona wewe!
Basi poa nishakutajia hadith ni bukhari na mufassirun ni Ibn kathir.
Kuna lingine?
 
Sahih bukhari 4:421View attachment 1673510View attachment 1673511Hapa unaambiwa jua likizama linaendaga kujificha under the throne ambayo ina miguu na inabebwa na malaika...likifika uko linasujudu linaomba ruhusa ya kuchomoza tena kesho...Mawazo ya hivi yaliwezekana kwasabab watu waliamini dunia ni flat lakini kama ni sphere inamaana hailizami kwenda sehem maana kuna sehem tu duniani bado linaonekana hata likizama huko meccaView attachment 1673515View attachment 1673513View attachment 1673512View attachment 1673514
Babu mbona unaleta maelezo mengi?

Vitabu vya Uislam vinafahamika na wanazuoni wao wanafahamika ambao ni warathatul anbiyaai. Wamejikita kwenye fani mbalimbali za dini!

Ukienda kwenye fiqh ina watu wake na wanafahamika, Muhaddith wapo na wanafahamika, Ahlul mantwiq wapo na wanafahamika, mufassiruun wapo wanafahamika!

Umekoti aya kutoka suratul Yaseen, ukafungamanisha na hadith kuonyesha zinashabiana. Swali nililokuuliza ni mufassiruun yupi aliyeelezea hiyo aya kama wewe ulivyoielezea mbele ya umma wa Jf?

Tutajie jina la huyo mufassiruun, jina la kitabu na kurasa. Ni swala jepesi tu! Ukija usije na ngonjera njoo na jawabu!
 
Basi poa nishakutajia hadith ni bukhari na mufassirun ni Ibn kathir.
Kuna lingine?
Babu hivi unazijua hadithi?
Bukhari katika mlango upi wa hadithi? Na hadithi nambari ngapi?

Ngoja niiangalie tafseer ya Ibn katheer kwenye hiyo aya! Nitarudi hapa hapa!
 
Babu mbona unaleta maelezo mengi?

Vitabu vya Uislam vinafahamika na wanazuoni wao wanafahamika ambao ni warathatul anbiyaai. Wamejikita kwenye fani mbalimbali za dini!

Ukienda kwenye fiqh ina watu wake na wanafahamika, Muhaddith wapo na wanafahamika, Ahlul mantwiq wapo na wanafahamika, mufassiruun wapo wanafahamika!

Umekoti aya kutoka suratul Yaseen, ukafungamanisha na hadith kuonyesha zinashabiana. Swali nililokuuliza ni mufassiruun yupi aliyeelezea hiyo aya kama wewe ulivyoielezea mbele ya umma wa Jf?

Tutajie jina la huyo mufassiruun, jina la kitabu na kurasa. Ni swala jepesi tu! Ukija usije na ngonjera njoo na jawabu!
Nitaje marangapi?Kusoma huwezi hata picha nilizoweka huoni?
 
Babu hivi unazijua hadithi?
Bukhari katika mlango upi wa hadithi? Na hadithi nambari ngapi?

Ngoja niiangalie tafseer ya Ibn katheer kwenye hiyo aya! Nitarudi hapa hapa!
babu naona umeamua kunipotezea muda.
Nishasema Huko juu ni bukhari 4:421
Sasa kukusaidia zaidi ni book 54 toleo la 4 hadith namba 421
 
Sijui nitakuwa naharibu uzi wako!! Kuna facts kadhaa za kisayansi ndani ya quraan, nitakuwa naandika zile ambazo nimebahatika kuzisoma..

Sura yasin

38. Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

Hapa mola anazungumzia jua kujongea, ni miaka mingi saana imepita ndio wanasayansi wanakuja kugundua jua linajongea miaka hii huku, quraan ambayo IMESHUSHWA karne ya 6 huko..
Hapo tuelewane imeshushwa, kama imeshushwa ina maana ilikiwepo kabla.

Katika quraan kuna mazingatio kabisa kama utasoma kwa tafakuri na akili kubwa.

Haujakosea ndugu, Upo sahihi
 
Back
Top Bottom