Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Unaambiwa uthibitishe kivipi quran ni kitabu kisicho na shaka unathibitisha kwa kutoa aya kwenye kitabu hicho hicho unachotakiwa kuthibitisha?.
Kwani uthibitisho ili uwe uthibitisho unahitaji ukidhi vigezo gani ?

Au usahihi ni upi katika jambo hilo...?
 
Quran ishapitwa na wakati sheikh usikaze kichwa...wenzako sasaivi Saudia wanachinjia wanyama mashine huku kuna Redio speakers kama zile za machinga stendi inajirudiarudia Bismillah Allahu akbar.
Ukiona hivyo ujue hilo linafaa,lingekuwa haramu mtume angelikataza sababu ameshatabiri uwepo wa mambo mengi ambayo tunaya diriki sasa hivi.

Shida yako hujui tu ya kuwa kuchinga ni ibada,na ibada ina nguzo na masharti basi yakitimia hayo basi jambo linafaa. Mchinjaji,cha kuchinjia kigizi vigezo na kutamka "Bismillah Allahu Akbar" sasa labda uniambie tamko hilo linapitwa vipi na wakati ?
eria za kuchinja hawakujua ipo siku kutakuwa na machinjio makubwa na haitawezekana kuchinja kwa mkono demand yote hiyo...
Sasa hapa kupitwa na wakati kunaingia vipi wakati nguzo za uchinjaji zimeshaelezwa hayo mengine yanaingia katika zile nguzo. Kwanza unajua nguzo za kuchinja ni zipi ?
Kipindi Muhammad anasema picha ni Haram hakujua ipo siku itakuwa ni mojawapo ya njia kubwa za mawasiliano.
Wapi mtume amesema picha ni haramu ? Uwe unasoma ibara kwa umakini. Ukinionyesha wapi mtume amesema picha ni haramu naacha kutumia hii ID.

Lakini je unaweza kuniambia mtume alikuwa anakusudia picha zipi ?

Unajua mpaka muda huu hujaonyesha kivipi Qur'aan imepitwa na wakati ? Hapa unaelezea Hadithi za Mtume na zenyewe hazijapitwa na wakati. Ulitakiwa uwe unaweka aya kisha unaonyesha kupitwa kwake kwa wakati.
Kipindi Muhamad anaweka kaaba iwe direction ya kuswali hakujua dunia duara kwahiyo direction yoyote ile inaangalia kaaba mifano ni mingi mno.
Kwahiyo uelekeo wa juu pia unaangalia Kaaba ?

Lakini mtume ametusomea aya na hadithi zinaonyesha ya kuwa Dunia ni duara,vipi asijue ya kuwa dunia ni duara ? Hivi akili yako inafanya kazi vizuri ?

Lakini Kaaba iko Makka,mpaka unaandika huu mfano inaonekana huwaangalii watu wanao sali pale Makka kuelekea Ka'aba na wanatengeneza duara.

Makka iko wapi katika uso wa dunia katikati au pembezoni ?
 
Kuna haja ya kusoma sana kujua mambo
 
Wow mashallah
 
Qur 45:3-4
3: "Bila ya shaka katika mbingu na ardhi ziko alama kubwa(za kuonyesha kuwa yuko Mwenyezi Mungu) kwa ajili ya wanao amini.

4: " Na katika umbile lenu,na katika viumbe alivyovitawanya zimo alama (vile vile) kwa watu wenye akili
 
Hii aya ya 20:8 Ni nani anae ongea hapo , Allah au Mohammad?
 
Asa hapo nini cha ajabu,mbn sayansi ipo deep zaidi!
 
Hata mimi sijaelewa mechanism ya sayansi kwenye hiyo aya iko wapi. Nimeamua ku chill tu pengine nimeivagaa aya kwa kuisoma kama gazeti
Waliopokea hiyo quran wanakariri sasa we fikiria mtu anayekariri yukoje.
 
kila lugha inatafsiri.
Na Qur'an na biblia vyote vina lugha zao za asili.
Biblia lugha yake ya asili NI IPI?
Acha utumwa tupe tafsiri ya kiswahili au unadhani hatujui kama kuna tafsiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…