Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Je wajua kuwa Sikio ndio kiungo cha kwanza kuumbwa kwa mwanadamu?
وَهُوَ الَّذِي أَنشَأَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۚ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ
[ AL - MUUMINUN - 78 ]
Na Yeye ndiye aliye kuumbieni kusikia na kuona na nyoyo za kufahamu. Ni kuchache mno kushukuru kwenu.
Hapo utaona cha kwanza kutajwa ni kusikia na cha pili ni macho ,cha kwanza kutwajwa ndio cha kwanza kuumbwa ,na aya zote katika Qur'an kumeanza kutajwa kusikia kisha kuona .
Masikio yanaumbwa siku ya 21 baada ya ramani nzima kukamilika .
Kila binaadamu anakitu kinachoitwa kitaalam Coccyx ,hizi Coccyx kama picha chini zinavyoonyesha zinakaa katika pingili za uti wa mgongo juu upande wa shingo hizi ndio zinahesabu matukio yote ya mwanadamu kwa maisha yake yote.
وَكُلَّ إِنسَانٍ أَلْزَمْنَاهُ طَائِرَهُ فِي عُنُقِهِ ۖ وَنُخْرِجُ لَهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ كِتَابًا يَلْقَاهُ مَنشُورًا
[ AN NAH'L - 13 ]
Na kila mtu tumemfungia a'mali yake shingoni mwake. Na Siku ya Kiyama tutamtolea kitabu atakacho kikuta kiwazi kimekunjuliwa.
Coccyx ni kama black box kwenye ndege.
Na Coccyx huumbwa ndani ya wiki ya tano tokea kutungwa kwa mimba.
Coccyx baada ya hapo zinakwenda kuscan kwenye ramani ya umbo la mtu huyu ambayo ramani hii huwa tayari ipo sasa Coccyx inascan kuanza na masikio kisha macho hivi ndio vitu vya mwanzo kabisa kuumbwa na cha mwisho kabisa huwa ni mapafu sayansi imesema hivyo..
Coccyx zinaenda kutengeneza viungo vyake (cell organics )na ndio inaanza na Masikio kisha macho na kuendelea na ndio maana mtoto anapozaliwa anaanza kusikia kabla ya kuona na kusikia anaanza toka akiwa tumboni hivyo ukiona mtu anasemesha mimba usimshangae ,hata mama zetu wanapoenda Hospital siku hizi wanaambiwa hatua za ukuaji mtoto tumboni kwamba sasa mwanao anasikia unaweza kuongea nae.