Jibu swali, ulikuwa unamuomba nani katika maombi yako?Nikikuambia shambani kwangu mi nina panda
Hapo nitakuwa nimemaanisha nini?
Utakuwa umepata tafsiri gani?
Nitakuwa nimepanda mmea yani "planting"?
Au nimepanda mti kwa kuukwea juu yake yani "climbing"?
Au nina miliki mnyama huyu aitwae panda?
View attachment 2843510
Hapo utaenda na jibu gani? Na lina takiwa moja
Morality haihusiki na MunguKwenye ulimwengu wenu wa utupu kupasuka kila kitu kinatokea kwa bahati nasibu, hakuna morality. Ukoshataja morality maana yake unamtaja aliyeiweka, ambaye ni Mungu.
Swali kama hilo ameuliza mwenzako angalia post #13 nilivyojibuJibu swali, ulikuwa unamuomba nani katika maombi yako?
Kisicho kuwepo Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.Hapo umethibitisha kwamba hakuna Mungu?
Je shetani yupo?Kisicho kuwepo Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.
Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, Imaginations just an illusion.
KAbisa mkuuNi sawa na rainbow color kabla ya mashoga kuiweka kwenye nembo yao. Ilikuwa ni rangi nzuri iliyokuwa ikiwakilisha mambo mema tu.
Mungu, Shetani, Yesu, Malaika, Roho Hawapo.Je shetani yupo?
Kanuni hii haiwezi kuapply katika mjadala wa Mungu,kwa sababu Wanaomthibitisha Mungu wanamthibitisha kupitia matukio ama vitu ambavyo tunaviona na kuvikiri.Kisicho kuwepo Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.
Ni ujinga wa watu tu wa kuvipa tafsiri ya ubaya vile vitu vizuri vinavyofanywa na wabaya.KAbisa mkuu
hata mimi binafsi nimekuwa nikiwashangaa watu waachao kutumia hii alama ya rainbow katika matumizi ambayo walikuwa wakiyatumia kabla ya ushoga eti kisa mashoga wanatumia.
Kuacha kutumia alama hii ambayo Katika asili tumeikuta ikitanda katika anga alafu kiurahisi tunakubali kwamba ni alama ya mashoga aisee inakuwa sisi ni wajinga.
Unaweza kuthibitisha uwepo wa electron? Hivi unajua kwamba umeme hakuna mtu amewahi kuuona? Unachoona ni effects za uwepo wa umeme. Ukiweka taa utaona mwanga na kusema umeme upo japo hauuoni.Kisicho kuwepo Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.
Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, Imaginations just an illusion.
Unaelewa morality ni nini mpaka uhitaji majibu ya kujua iliwekwa na nani?Kuua ni kinyume na morality ipi? Imewekwa na nani?
Kwa mujibu wa dictionary, morality is principles concerning the distinction between right and wrong or good and bad behaviour.Unaelewa morality ni nini mpaka uhitaji majibu ya kujua iliwekwa na nani?
Sasa kama sijajibu kwanini ujiwekee majibu ya kuhusisha na maswala ya Mungu?Haujajibu ndio maana nimekwambia ujibu kwamba ulikuwa unafanya maombi yako kwa nani?
Mbona sijaona Mungu kwenye hiyo tafsiri?Kwa mujibu wa dictionary, morality is principles concerning the distinction between right and wrong or good and bad behaviour.
Sasa hizo principles zimewekwa na nani?
Sasa elezea ulikuwa unaomba nini na kwa nani.Sasa kama sijajibu kwanini ujiwekee majibu ya kuhusisha na maswala ya Mungu?
Statement yenye tafsiri zaidi ya maana moja unaanzaje kulazimisha kwa kujichagulia aina fulani ya maana kuwa ndio kusudio langu kwasababu tu ya interest zako?