Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

Chukulia mfamo wa mechi ambapo timu A inaongoza goli 5 na timu B ina goli 1, imebaki sekunde 30 mpira uishe kutoka kwenye dakika 2 za nyongeza. Je hapo siwezi kuwa na uhakika wa matokeo ya timu A kuwa ndio mshindi wa hiyo mechi inayoendelea?
Chukulia mfano ndani ya sekunde hizo likapigwa bomu hapo uwanjani na mamia ya watu wakafa.
Ulikuwa na uhakika kwamba mechi itaisha?
 
Sekunde 30 zinatosha kukufanya ukosee.

Na ndio maana hata timu ipate magoli 10 kwa bila hata ifike dakika ya mwishoni itahesabika kuwa inaongoza goli 10 na sio kushinda goli 10 kwasababu mechi haijaisha lolote linaweza kutokea.

Mfano wewe unaweza kudhani ni rahisi kusema sekunde 30 zilizobaki huyo mwenye goli 5 ndio atakuwa mshindi mwisho wa mechi.

Lakini vipi sekunde za mwisho wa mchezo ikatokea vurugu na mechi ikahairishwa?

Maana yake huo ushindi wa magoli 5 hautambuliki, mshindi anapatikana baada ya filimbi ya mwisho.

Vipi katika sekunde za mwisho kukatokea ajali hapo kiwanjani na mechi isiendelee tena?
Nimeshindwa kuelewa kwanini hata kauliza.
 
Nimeshindwa kuelewa kwanini hata kauliza
 
Kwa maana hiyo unachosema ni kwamba uhakika ni kujiridhisha kwa jambo lililopita basi?
 
Unaweza ukatoa mifano hai ya hiyo michango ya atheism katika jamii?
Mfano hai ni James Randi

James Randi alikuwa ni mtu wa physics na alipenda sana kufanya maonyesho ya magic

James Randi alikuwa ni Atheist na watu walikuwa wanamuita mchawi kwa kile alichokuwa ana perform jukwaani.

Licha ya mara nyingi kuwaambia watu kuwa hakuna uchawi ni trick tu ambazo hamjajua nazifanyaje lakini watu walikuwa wagumu kumuelewa.

Mpaka siku moja alipoletewa taarifa ya mchungaji mmoja aitwaye Peter Popof kuwa ni mtu ambaye amepewa karama ya kujua maisha yako kabla wewe hujamuambia.

James Randi alisema hakuna namna yeyote mtu anaweza kupata taarifa zako kwa kumtajia tu jina lako.

James Randi akaenda kufanya utafiti kwenye hilo kanisa na hiki ndio alichokuja nacho.

Peter Popof alikuwa na foundation yake ambayo ilikuwa inasimamiwa na mkewe na kila muumini lazima apitie hapo kwanza.

Watu hawakuweza kujua kuwa hiyo foundation inamilikiwa na huyo Pastor.

Katika hiyo foundation muumini utajaza fomu za taarifa zako na matatizo yako na mambo mengine ambayo yanakusumbua.

Pastor akiwa ibadani alikuwa anavaa ear piece kufanya mawasiliano na mkewe aliyepo nyumbani.

Kwa hiyo ilipokuwa inatokea muumini kaenda madhabauni basi Pastor alikuwa anamuuliza jina lake.

Muumini akijibu, kule mkewe anasikia kwa hiyo anaanza kutafuta jina hilo kwenye zile taarifa za watu walioandikisha.

Akishapata anaanza kumsomea mahali huyo mtu anaishi, ana familia au hana, matatizo yake aliyonayo na yalianza kumsumbua lini

Ambapo Pastor yale maneno anayosomewa na mkewe yeye anakuwa anayatamka mbele ya maiki na waumini wakisikia.

Na yule muhusika anakuwa surprised kwasababu kweli kilichotajwa ni sahihi.

Sasa James Randi alichokufanya aka intercept zile signal kukata mawasiliano kati ya mke wa Pastor na Pastor mwenyewe.

Kwa hiyo watu walipokuwa wanakuja wakitaja majaina yao, kule kwa mke wake sauti haifiki mawasiliano hakuna. Huku Pastor anasubiriwa atoe ubashiri wake na mambo yanamgomea.
 
Chukulia mfano ndani ya sekunde hizo likapigwa bomu hapo uwanjani na mamia ya watu wakafa.
Ulikuwa na uhakika kwamba mechi itaisha?
Kupigwa bomu si sehemu ya huo mchezo, labda uniambie hiyo mechi inachezeka Gaza huko hapo ndipo naweza nikaweka nafasi ya hiyo mechi kuharibika kwa pengine bomu kupigwa kabla ya kuisha mchezo.
 
Mtendee Jirani yako mema kama unavyojitendea wewe mwenyewe, hii 👆 ndii mtindo wa Maisha wanavyotakiwa Wana damu waiishi.

Hayo mambo mengine ya Dini ni kutaka kuwatawala, na kupora pesa zenu.
 
Swala la Mungu mtu ameumbiwa kukubali hivyo automatically hata akiwa mpingaji hadharani ila kuna moment atajikuta anakubali tu..

Naona amejitahidi kuleta ngonjera na maelezo mengine ya kujitetea yasio na mantiki..
 
Mfano hai ni James Randi

James Randi alikuwa ni mtu wa physics na alipenda sana kufanya maonyesho ya magic

James Randi alikuwa ni Atheist na watu walikuwa wanamuita mchawi kwa kile alichokuwa ana perform jukwaani.

Licha ya mara nyingi kuwaambia watu kuwa hakuna uchawi ni trick tu ambazo hamjajua nazifanyaje lakini watu walikuwa wagumu kumuelewa.

Mpaka siku moja alipoletewa taarifa ya mchungaji mmoja aitwaye Peter Popof kuwa ni mtu ambaye amepewa karama ya kujua maisha yako kabla wewe hujamuambia.

James Randi alisema hakuna namna yeyote mtu anaweza kupata taarifa zako kwa kumtajia tu jina lako.

James Randi akaenda kufanya utafiti kwenye hilo kanisa na hiki ndio alichokuja nacho.

Peter Popof alikuwa na foundation yake ambayo ilikuwa inasimamiwa na mkewe na kila muumini lazima apitie hapo kwanza.

Watu hawakuweza kujua kuwa hiyo foundation inamilikiwa na huyo Pastor.

Katika hiyo foundation muumini utajaza fomu za taarifa zako na matatizo yako na mambo mengine ambayo yanakusumbua.

Pastor akiwa ibadani alikuwa anavaa ear piece kufanya mawasiliano na mkewe aliyepo nyumbani.

Kwa hiyo ilipokuwa inatokea muumini kaenda madhabauni basi Pastor alikuwa anamuuliza jina lake.

Muumini akijibu, kule mkewe anasikia kwa hiyo anaanza kutafuta jina hilo kwenye zile taarifa za watu walioandikisha.

Akishapata anaanza kumsomea mahali huyo mtu anaishi, ana familia au hana, matatizo yake aliyonayo na yalianza kumsumbua lini

Ambapo Pastor yale maneno anayosomewa na mkewe yeye anakuwa anayatamka mbele ya maiki na waumini wakisikia.

Na yule muhusika anakuwa surprised kwasababu kweli kilichotajwa ni sahihi.

Sasa James Randi alichokufanya aka intercept zile signal kukata mawasiliano kati ya mke wa Pastor na Pastor mwenyewe.

Kwa hiyo watu walipokuwa wanakuja wakitaja majaina yao, kule kwa mke wake sauti haifiki mawasiliano hakuna. Huku Pastor anasubiriwa atoe ubashiri wake na mambo yanamgomea.
Sasa hapo si umeeleza tu tukio na si mchango wa atheism kwenye jamii, hata sasa kuna waumini wenye kuamini dini na Mungu ila wanasema hii miujiza ya manabii ni uzushi si kweli.

Au labda ungefafanua hilo tukio la huyo atheist limeleta mchango gani kwenye jamii? Ni kwamba watu wenye kudai kujua taarifa binafsi za watu pasina kuambiwa huwa wana mtandao wa kukusanya taarifa?
 
Ulimwengu una uniformity, angalia uumbaji wa species mbalimbali za wanyama na mimea. Gravitational force ipo consistent ulimwenguni.. nk
Hapo kwenye gravitational forces acha kuongopa na acha kujifanya mjuaji wa kila kitu. Unaelewa kwamba kuna sehemu nguvu ya uvutano haipo?
 
Mtendee Jirani yako mema kama unavyojitendea wewe mwenyewe, hii 👆 ndii mtindo wa Maisha wanavyotakiwa Wana damu waiishi.

Hayo mambo mengine ya Dini ni kutaka kuwatawala, na kupora pesa zenu.
Kumtendea mema jirani yako ni sehemu ndogo sana katika uhalisia wa maisha, ni moja ya fundisho katika mafundisho ya dini.
 
Ameshiba tu ugali anaona amukufuru Mungu ati hayupo
Kama anaamini Mungu hayupo basi asiamini yeye mwenyewe yupo
Mungu akijidhirisha yupo na akataka amuone atahimiri huyo
Mungu ni mkuu hachunguziki kwa akili za kibinadamu
Kwanini anaamini kwamba fulani ndo mama yake atathibitisha vip wakati alizaliwa akiwa hajielewi lakini leo anaamini ati fulani ndo mama na anaamini lakini hataki kuamini ukuu wa Mungu
Namshauri aache kiburi
 
Kupigwa bomu si sehemu ya huo mchezo, labda uniambie hiyo mechi inachezeka Gaza huko hapo ndipo naweza nikaweka nafasi ya hiyo mechi kuharibika kwa pengine bomu kupigwa kabla ya kuisha mchezo.
Kwa mantiki hiyo ondoa neno kwa mfano ili uendelee na mjadala.

Umetumia neno kwa mfano na mimi natumia mfano bomu likarushwa kwanini ukatae mfano huo? Vipi ndani ya dakika hizo mashabiki wakaingia uwanjani wamachoma visu refa?

Jikite kwenye mada.
 
Nimekujibu kuwa hayo sio sehemu ya mchezo, mchezo wenyewe unafahamika na una dk 90 ila hayo ya bomu na refa kupigwa kisu ni nje ya mchezo huwezi kutaka mie niatizame hayo tunapozungumzia mpira.

Tumeona timu zikiongozwa kwa magoli kadhaa ila mwishoni huko wakarudisha magoli kabla mechi kuisha, huo ndio mpira ila hayo ya mabomu ni mambo ya nje ya mpira.
 
Au labda ungefafanua hilo tukio la huyo atheist limeleta mchango gani kwenye jamii? Ni kwamba watu wenye kudai kujua taarifa binafsi za watu pasina kuambiwa huwa wana mtandao wa kukusanya taarifa?
Kwani huo si mchango katika jamii yake?
Wangapi walikuwa wanaibiwa kwa mtindo huo pasina kufahamu?
Ku expose uongo na watu wengi kuujua ukweli huo ni mchango au wewe mchango kwako ni nini?
 
Nimekujibu kuwa hayo sio sehemu ya mchezo, mchezo wenyewe unafahamika na una dk 90 ila hayo ya bomu na refa kupigwa kisu ni nje ya mchezo huwezi kutaka mie niatizame hayo tunapozungumzia mpira.

Tumeona timu zikiongozwa kwa magoli kadhaa ila mwishoni huko wakarudisha magoli kabla mechi kuisha, huo ndio mpira ila hayo ya mabomu ni mambo ya nje ya mpira.
Sasa hapo hakuna tutachoongea!
Hakuna limitation ya kwamba hilo ni nje ya mchezo umetumia neno chukulia mfano na mimi nikajikita katika angle hio hio ya chukulia mfano.

Sababu umetumia propability ya sec30 zilizobaki na mimi natumia hio notion kwamba ndani ya sekunde hizo limeripuka bomu na sekunde hazikuisha

Swali ulikuwa na uhakika mpira utaisha?
 
Back
Top Bottom