Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa ukishindwa kupata majibu kuhusu "Existence of the universe" ndio useme kuna Mungu?Mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science kwa takriban miaka 11++ nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu, asiye na mshirika na mwenye mamlaka yote na sikubaliani kabisa na hoja zako sijui za mungu baba, mwana nk nk nk.
Kuna mambo mengi serious ya msingi yanayofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu mmoja tu na mwenye mamlaka yote; hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna baadhi ya wana saiyansi mahiri walikuja na theory zao mfano; "The Big Bang theory" ambayo ni maarufu sana ila zote ni habari za kusadikika!
Kwanza Huyo Mungu Ulijuaje yupo?
Huyo Mungu aliwezaje ku exist tu mwenyewe from nowhere?
Mbona hujiulizi na huyo Mungu ali exist vipi?
Kwa nini unataka tu, Universe iwe na existence?