Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science kwa takriban miaka 11++ nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu, asiye na mshirika na mwenye mamlaka yote na sikubaliani kabisa na hoja zako sijui za mungu baba, mwana nk nk nk.

Kuna mambo mengi serious ya msingi yanayofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu mmoja tu na mwenye mamlaka yote; hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna baadhi ya wana saiyansi mahiri walikuja na theory zao mfano; "The Big Bang theory" ambayo ni maarufu sana ila zote ni habari za kusadikika!
Sasa ukishindwa kupata majibu kuhusu "Existence of the universe" ndio useme kuna Mungu?

Kwanza Huyo Mungu Ulijuaje yupo?

Huyo Mungu aliwezaje ku exist tu mwenyewe from nowhere?

Mbona hujiulizi na huyo Mungu ali exist vipi?

Kwa nini unataka tu, Universe iwe na existence?
 
Kama umebahatika kusoma Sayansi vizuri na sio blaa blaa za mtaani...
unafaham kuwa, kila kitu kina mwanzo, na kama vitu tulivyo navyo mfano; universe kwa research zetu zote hatujaweza kupata theory yenye uhakika ya kuelezea mwanzo wake
Ina maana kuna kitu au nguvu iliyofanya hivi vitu viwepo na hiyo nguvu ndio tunaiita Mungu...
Ni somo technical ila sitaki kukuelezea kisayansi kwani najua nawasiliana na watu wengi hapa
 
Mkuu kutokubaliana nami, wala sio tatizo.

Nilichowasilisha mimi ni kua hata science inasupport muumbaji mmoja wa kila kitu anaezungumziwa ktk maandiko kupitia atom.
Hakuna science inayo support muumbaji wa kila kitu kupitia Atom.

Labda sayansi yako ya vichochoroni huko.

Unachofanya wewe ni logical non sequitur.

Kwamba eti, Kwa vile imani ya kikristo inasema Mungu ni nafsi tatu:
"Baba, Mwana na Roho mtakatifu"
Na Atom inaundwa na particles tatu: Electrons, Protons and Neutrons.

Basi una unda hitimisho uchwara kwamba sayansi ina support uwepo wa Mungu.

Hii ni conclusion uchwara.
 
Kama umebahatika kusoma Sayansi vizuri na sio blaa blaa za mtaani...
unafaham kuwa, kila kitu kina mwanzo,
Kama kila kitu kina mwanzo, Mwanzo wa Mungu ni nini?
na kama vitu tulivyo navyo mfano; universe kwa research zetu zote hatujaweza kupata theory yenye uhakika ya kuelezea mwanzo wake
Ina maana kuna kitu au nguvu iliyofanya hivi vitu viwepo na hiyo nguvu ndio tunaiita Mungu...
Je kama mwanzo Haupo, Kwa nini unalazimisha universe iwe na mwanzo?

Hiyo nguvu unayodai ilifanya universe iwepo, ilitoka wapi?

Na mwanzo wa hiyo "nguvu" ni nini?
Ni somo technical ila sitaki kukuelezea kisayansi kwani najua nawasiliana na watu wengi hapa
Hakuna sayansi, dini au imani yeyote ile inayoweza kuthibitisha pasi shaka chanzo cha ulimwengu.

Zilizopo ni nadharia tu zisizo na uthibitisho wala ushahidi wowote ule wala ukweli.

Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele.
 
Sahihi umesema, Watu huzaliwa bila ufahamu. Na kama huna ufahamu pia huwezi kuwa na imani au dini

Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.

Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu wala imani ya aina yeyote ile. Mpaka pale atakapo aminishwa na kupewa imani/dini kutoka kwa wazazi au walezi wake.

Una elewa hilo?
Kumbe nyinyi ambao mnaamini hakuna Mungu hamuna tofauti na mtoto aliyezaliwa Leo?
Kama ni hivyo mna haki ya kusema hakuna Mungu mkikuwa wakubwa kama sisi mtakubali kuwa Mungu yupo

Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu Yani IQ yake inasoma zero

Akisha pata ufahamu ndio anajua kuwa Mungu yupo
 
Wewe umeshajua Mungu yupo na una IQ kubwa, Sasa Thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unayejua yupo.

Ili sisi tusiomjua yupo, tupate kumjua yupo.

Usilete hekaya za vitabuni huko kwenye Biblia na Quran kwamba ndio uthibitisho.

Mthibitishe huyo Mungu wako, yeye kama yeye. Pasipo kutumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence.

Au ukishindwa kumthibitisha huyo Mungu wako, Mwambie ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu, Kwani yeye hana uwezo wa kuja kujieleza na kujidhihirisha mwenyewe?
 
Hadi hapo tayari umeshafeli unaonekana unaogopa kufanya discussion kuhusu Mungu Kwa kutumia mandiko ya Mungu

Kama kweli ungekuwa na uhakika na unachokiamini usingeogopa maandiko ya Mungu badala yake wewe ungevunja hizo hoja za maandiko ya Mungu Kwa kutumia mandiko ya Imani yako maana mnaya hayo mandiko yalioandikwa na mbumbu wenzako Kuna sehemu niliona umenukuu sijui athletic 27:5

Ila labda nikuambie kitu hauna uwezo wa kupinga uwepo wa Mungu Kwa vyovyote vile iwe Kwa kutumia

1) Mandiko ya Mungu
Hapa na wewe utamia mandiko yako ya athletic

2) Kisayansi hapa zitaangaliwa facts

3) Kwa kutumia akili za kibinadamu
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Hiyo logic uliyotumia haina nguvu, kusema kwamba Mungu ni Atom ,
Labda useme angalau law ya kwanza ya thermodynamic ina prove kidogo uwepo wa mungu kwamba "Energy can not be created nor destroyed" ina transoform, kwa kusema huenda Mungu akawa ndiyo Energy
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
 
Hadi hapo tayari umeshafeli unaonekana unaogopa kufanya discussion kuhusu Mungu Kwa kutumia mandiko ya Mungu
Maandiko ya Mungu yapo mengi sana, kila andiko lina ongelea Mungu wake.

Kuna Biblia, Quran, The veda, Tripitaka, The Kojik, The Guru Granth sahib, Tao-Te ching, Rastafar Bible n.k

Na yote haya yana maelezo tofauti kuhusiana na Mungu.

Mpaka hapa huwezi kutumia maandiko ya kidini kama uthibitisho, Maana kuna maandiko mengi sana yote yakidaiwa ni ya Mungu.
Kama kweli ungekuwa na uhakika na unachokiamini usingeogopa maandiko ya Mungu badala yake wewe ungevunja hizo hoja za maandiko ya Mungu Kwa kutumia mandiko ya Imani yako maana mnaya hayo mandiko yalioandikwa na mbumbu wenzako Kuna sehemu niliona umenukuu sijui athletic 27:5
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uthibitisho na uhakika.

Ila labda nikuambie kitu hauna uwezo wa kupinga uwepo wa Mungu Kwa vyovyote vile iwe Kwa kutumia

1) Mandiko ya Mungu
Hapa na wewe utamia mandiko yako ya athletic
Hakuna maandiko ya Mungu.

Yote ni maandiko ya kibinadamu yaliyo andikwa na wanadamu kuhusu dhana ya kufikirika mliyo jitungia vichwani mwenu na kuiita Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
2) Kisayansi hapa zitaangaliwa facts
Sayansi haina facts zozote za uwepo wa Mungu.

Kwa sababu Mungu ni dhana ya kutungwa tu, imaginations just an illusion
3) Kwa kutumia akili za kibinadamu
Akili za binadamu ndio zilimtunga Mungu vichwani mwao.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
 
Wewe umeshajua Mungu yupo na una IQ kubwa, Sasa Thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unayejua yupo.

Ili sisi tusiomjua yupo, tupate kumjua yupo.

Usilete hekaya za vitabuni huko kwenye Biblia na Quran kwamba ndio uthibitisho.

Mthibitishe huyo Mungu wako, yeye kama yeye. Pasipo kutumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence.

Au ukishindwa kumthibitisha huyo Mungu wako, Mwambie ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu, Kwani yeye hana uwezo wa kuja kujieleza na kujidhihirisha mwenyewe?
A
 
Maandiko ya Mungu yapo mengi sana, kila andiko lina ongelea Mungu wake.

Kuna Biblia, Quran, The veda, Tripitaka, The Kojik, The Guru Granth sahib, Tao-Te ching, Rastafar Bible n.k

Na yote haya yana maelezo tofauti kuhusiana na Mungu.

Mpaka hapa huwezi kutumia maandiko ya kidini kama uthibitisho, Maana kuna maandiko mengi sana yote yakidaiwa ni ya Mungu.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uthibitisho na uhakika.

Hakuna maandiko ya Mungu.

Yote ni maandiko ya kibinadamu yaliyo andikwa na wanadamu kuhusu dhana ya kufikirika mliyo jitungia vichwani mwenu na kuiita Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Sayansi haina facts zozote za uwepo wa Mungu.

Kwa sababu Mungu ni dhana ya kutungwa tu, imaginations just an illusion

Akili za binadamu ndio zilimtunga Mungu vichwani mwao.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
Umeandika maelezo mengi ila point ni Moja tu hautaki kumjua Mungu kupitia
Maandiko yake wala Sayansi ila unataka kumjua kupitia akili yako na kuthibitisha

Sasa ngoja nikufundishe kumjua Mungu kupitia akili yako
Jibu hili swali
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?
 
Hakutokea mahali popote pale.

Alikuwepo duniani na alitoka kwa kizazi chake.
 
"Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana Kwa taifa"
Mungu ni nini au nani? Tuambie kwanza kabla hatujaendelea
Nikikutana na mawazo kama yako [emoji23][emoji23] huwa nawaza nafika mbali sana. Nafikiri kuna vibaraka wa shetani moja kwa moja wanao pinga uwepo wa Mungu na na Malaika wa shetani wanao ishi na sisi kwa sura za kibinadamu.
Daaah!! Am sorry lakini mawazo yangu tu
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Get more confused by this :

An electron has no internal configuration that we know of and is considered as one of the fundamental particles. Protons and neutrons, on the other hand are made up of smaller fundamental particles called quarks. There are 6 different types or"flavours" of quarks: up, down, charm, strange, bottom and top. Neutrons and protons are made up of only up and down quarks. Unlike neutrons, protons and electrons quarks may have fraction charge.The principle of quantization of charge is still followed because quarks are the only particles which have fractional charges and they always occur in combination. A neutron is made up of 1 up quark(charge = +2/3) and 2 down quarks(charge = -1/3). Similarly, a proton is made up of 2 up and 1 down quark.

Sasa hebu integrate mambo ya Mungu hapo., kama hujaanza kuongea kikwenu.
 
Okay kwahiyo mtu wa kwanza aliyeanzisha kizazi chenu Hadi na wewe ukazaliwa alizuka hapa Duniani

Kwani Hadi Sasa hawaendelei kuzuka watu wengine?

Nini kinachozuia wasiendelee kuzuka watu wengine Ili waendelee kuzaa vilaza kama wewe?
Chumvi ikiharibika itiwe nini ili ikolee?

Akili ya huyu kijana imeoza ingali hai lakini haina matumaini ya kupona
 
Back
Top Bottom