Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Hoja ya "Golden Rule" (Maadili ya Wema na Ubaya Hayahusiani na Mungu)

Golden Rule inasema, "Tendea wengine jinsi unavyotaka kutendewa." Watu wengi huona kanuni hii kama msingi wa maadili bila kutegemea dini. Hata hivyo:

Chanzo cha Maadili: Swali kuu ni, kwa nini tunapaswa kufuata maadili kama haya? Bila chanzo cha juu (kama Mungu), maadili yanakuwa maoni tu ya binadamu bila msingi wa lazima au wa kudumu.
Swali kuu ni, kwa nini tunapaswa kufuata maadili kama haya?

Swali hilo majibu yake ni haya.

Kabla ya kujua thamani ya maadili mema kitu cha kwanza ni kujiweka wewe katika nafasi ya mwingine. (Kuvaa viatu vyake)

Kwa kutumia empathy.

Ukisha jiweka wewe katika nafasi ya mtu mwingine hapo utakuwa katika position nzuri ya ku share feelings za huyo mtu kujua namna ambavyo atajisikia iwapo jambo fulani utamfanyia.

Kwasababu hiyo siwezi nikamfanyia jambo hilo kwakua nimeona jinsi ambavyo haitampendeza na itam nyong'onyesha na hata mimi mwenyewe sipendi jambo kama hilo kufanyiwa.

See? Nimeeleza namna naweza kufanya mema na kuepuka mabaya bila kuhusisha Mungu.

Lakini kama Mungu ndio kitu pekee kinachokuepusha usifanye ubaya basi ni wazi hauna empathy.
 
Umebaki unalalamika tu Kuwa Mungu hayupo ,Mungu hayupo
Na wewe umebaki kusema Mungu yupo! Mungu yupo!

Ila mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wake.

Unaruka ruka tu.
Ok ngoja nikujuze kuhusu hoja zako, japo unarudi kule kule kila mara


1. “Ulijuaje Mungu yupo kabla ya kujua ni wa kiroho?”

Hoja ya "kujuaje Mungu yupo kabla ya kusema ni wa kiroho" inahitaji kueleweka ndani ya muktadha wa dhana za ontolojia (nature of being) na epistemolojia (how we know).
Hiyo dhana ya "ontolojia" ni ya nani?

Imetoka kwa nani? Kwa utafiti upi na uthibitisho upi?

Ni nani aliileta hiyo dhana ya ontolojia?

Na huyo aliye ielezea dhana ya "ontolojia" alikuwa na uthibitisho upi wa kuwepo Mungu?

Au alifosi tu kuna Mungu bila uthibitisho na akawapachikia na kuwa andikia hii dhana yake uchwara ya "ontolojia" bila uthibitisho?

Jibu: Dhihirisho la uwepo wa Mungu linatokana na tafakuri juu ya mambo yasiyoelezeka kirahisi kupitia asili ya ulimwengu. Wanafilosofia kama Thomas Aquinas walijenga hoja za kimantiki, kama ile ya "Kila kitu chenye mwanzo lazima kiwe na sababu ya kuwepo."
Unathibitisha vipi ulimwengu una mwanzo?

Huyo Thomas Aquinas, Alijuaje na alitoa uthibitisho upi kwamba ulimwengu una mwanzo?

Ulimwengu Hauna chanzo na Hauhitaji kuwa na chanzo.

Kama ni lazima ulimwengu uwe na mwanzo, Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo.

Huwezi kufosi kwamba Mungu hana chanzo, Halafu unaanza kulazimisha ulimwengu uwe na chanzo.

Una elewa hilo?
Hii inamaanisha kwamba lazima kuwe na chanzo cha mwisho kisicho na mwanzo (uncaused cause), ambacho ni Mungu.
Sio Mungu, Kwa sababu bado hujui kama yupo na umeshindwa kuthibitisha uwepo wake.

Ulimwengu upo na una thibitishika upo na wala hauna chanzo chochote kile chenye ukweli kilicho thibitika kiliuumba ulimwengu.

Hicho chanzo hakipo na wala hakuna uthibitisho wowote ule wa chanzo kilicho umba ulimwengu.

Hivyo, Ulimwengu hauna chanzo.
Tafakuri hii haimlazimishi Mungu awe wa kiroho moja kwa moja, bali inahitimisha uwepo wa chanzo kisicho cha asili.
Kwa nini unalazimisha na kuhitimisha kuna chanzo kisicho cha asili, ilihali hukijui na wala huwezi kuthibitisha kama kipo?

Huoni kwamba unafosi mawazo yako ya kiimani, yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Hali ya kuwa Mungu ni wa kiroho hujengwa kutokana na dhana kwamba chanzo hicho hakiwezi kuwa cha kimwili kwa kuwa kipo nje ya muda na nafasi.
Bado hujathibitisha uwepo wa hicho chanzo ukiitacho Mungu.

Unafosi fosi tu kiwepo, ilhali hata hujui kipoje.

Ndio maana kuna dhana nyingi uchwara kama hizo za " ontolojia" zisizo na uthibitisho wowote ule.
2. “Thibitisha kwanza, ulijuaje Mungu yupo?”

Hoja hii inahitaji mjadala wa kina kuhusu ushahidi wa uwepo wa Mungu.

Jibu: Mungu anaweza kueleweka kupitia ishara za ulimwengu (evidence of design) na hoja za kifalsafa kama vile:
Hapa unafanya Logical non sequitur.

Ulimwengu Haumuhitaji huyo Mungu ili uwepo, Ni nyie tu mnahangaika na kujaribu kufosi ulimwengu uwe umeumbwa na huyo Mungu wenu wa kufikirika na kusadikika.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Unatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence kutaka kufosi kwamba ndio viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.
Fine-tuning: Ulimwengu unaonekana kuwa umewekwa kwa ustadi mkubwa ili kuleta uhai. Sababu ya hali hii haielezeki kwa bahati tu. Hata atheists kama Fred Hoyle alikiri kwamba "design seems to have been fine-tuned."
Una thibitisha vipi kwamba ulimwengu uliwekwa?

Je kama haukuwekwa?

Utajuaje?

Kwa nini unahitimisha moja kwa moja kwamba, Ulimwengu uliwekwa?

Na bado hujui, huna uhakika na wala huwezi kuthibitisha hicho kilicho uweka Ulimwengu?
Moral Law (Sheria ya Maadili): Binadamu wana maadili ya asili ambayo hayawezi kuelezewa na mchakato wa kibaolojia tu. Kama sheria zipo, lazima kuwe na Sheria Kuu (Moral Law Giver).
Huu ulazima wa kwamba lazima awepo " Moral law giver" umetoka wapi na uliwekwa na nani?

Huyo aliyeuweka, Alijuaje na alito uthibitisho upi kwamba kuna, Moral law giver?
Hoja ya Ontolojia: Uwepo wa dhana ya Mungu unashawishi kuwepo kwa Mungu. Wazo la kuwa na Mungu Mkamilifu halingetokea bila chanzo kamili.
Bado hata hiyo hoja ya "ontolojia" inaeleza tu, Mungu ni " dhana" .

Kwamba bado hakuna uhakika, ushahidi wala uthibitisho wa uwepo wa Mungu huyo kwenye uhalisia.

Mungu huyo anabaki "dhana" ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Hata hiyo ontolojia, Ni uthibitisho wa kwamba Mungu hayupo katika uhalisia. Ni dhana tu ya kufikirika.

Hivyo Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika na kusadikika tu.
Uzoefu wa Kiroho: Milioni ya watu duniani wamepata uzoefu wa kiroho. Hata wanasayansi wa akili wanakubali kuwa uzoefu wa aina hii ni halisi kwa wahusika. Ingawa unaweza kusemwa kuwa hallucination, huwezi kupuuza ushuhuda mkubwa kiasi hiki.
Kukubali unaweza kukubali hata uongo, Lakini haitamaanisha kwamba hicho kinacho kubaliwa ni ukweli kwa vile kimekubaliwa na wengi.

Watu wengi pia wanaweza kuukubali uongo.

Hivyo "uzoefu wa kiroho" wa mamilioni ya watu duniani Hauthibitishi na wala Haudhihirishi kwamba kuna Mungu.

Bado inabakia ni imani na mitazamo yao tu isiyokuwa na uthibitisho wowote ule wala ukweli wowote ule.
3. “Unathibitisha vipi kwamba ulimwengu ulisababishwa na huyo Mungu?”

Hoja ya sababu kuu inabainisha kwamba kila kitu kilicho na mwanzo lazima kiwe na chanzo.
Ulimwengu hauna chanzo.

Ni ninyi tu mnafosi ulimwengu uwe na chanzo mkiitacho Mungu.

Lakini hamuwezi kuthibitisha uwepo wa chanzo hicho mkiitacho Mungu, Hivyo ulimwengu unabaki bila chanzo.
Mpaka pale mtakapoleta uthibitisho kwamba, Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu. Na ithibitike hivyo pasi shaka.

Unless otherwise...👇

Kama kila kitu kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwanzo, Hata huyo Mungu lazima awe na chanzo.

Na kama si lazima kila kitu kina mwanzo, Hata Ulimwengu hauna chanzo na Hauhitaji kuwa na chanzo.
Jibu: Ulimwengu unaonyesha kuwa ulianza kuwepo (Big Bang theory). Kama ulianza, lazima kuwe na chanzo chake. Chanzo hiki hakiwezi kuwa cha asili kwa sababu chanzo cha asili kingekuwa ndani ya ulimwengu wenyewe, na hivyo kuhitaji chanzo kingine. Mungu ndiye chanzo hicho kisicho cha kimwili, kisicho cha wakati, na kisicho na mwanzo.
Huyo Mungu kabla ya kuwa
"chanzo cha kila kitu" alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Kama hakuwa mahali popote pale, Basi pia hayupo popote pale.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Na ana exist kwenye mawazo yenu kufikirika tu.
4. “Kama Energy imeweza kuwepo bila kuwa created, kwa nini ulazimishe kuna Mungu?”

Jibu: Hoja ya nishati kama chanzo cha kila kitu inapingwa na ukweli kwamba nishati haiwezi kujieleza yenyewe au kuamua kitu kwa hiari. Nishati haina akili, lakini ulimwengu unaonyesha ushahidi wa akili kubwa iliyojipanga. Hii inatupeleka kwa chanzo chenye uwezo wa kuumba kwa hiari, ambacho ni Mungu.
Hata huyo Mungu wenu hawezi kujieleza mwenyewe, Ndio maana wewe unahangaika kumwelezea.

Hata huyo Mungu wenu hana Akili, ndio maana hawezi na kashindwa kujidhihirisha mwenyewe.

Huyo Mungu hayupo, Ni wewe tu unafosi awepo na unahangaika kumwelezea.
5. “Unathibitisha vipi kwamba Mungu angejidhihirisha waziwazi, kila mtu angeamini bila hiari?”

Jibu: Mungu ameacha dalili wazi za uwepo wake (design, moral law, and spiritual experiences), lakini amehifadhi uhuru wa mwanadamu wa kuchagua. Imani si suala la kulazimishwa; ni uamuzi wa hiari. Kama Mungu angejidhihirisha waziwazi kwa kiwango cha kumlazimisha kila mtu kuamini, uhuru wa hiari ungeondolewa, na mahusiano ya kiroho hayangekuwa ya kweli.

6. “Kwa nini unahitimisha moja kwa moja kusema kuna Muumba?”

Jibu: Hoja ya muumba inatokana na asili ya ulimwengu. Kama kila kitu chenye mwanzo kina chanzo, basi ulimwengu lazima uwe na chanzo
Hata huyo Mungu lazima awe na chanzo.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina chanzo, Ulimwengu pia hauna na hauhitaji uwe na chanzo.
. Uchunguzi wa kina hauoneshi chanzo kingine chochote chenye sifa zinazolingana na Mungu wa kiroho: asiye na mwanzo, wa milele, na mwenye uwezo wote.

7. “Dhana za Mungu ni za uongo ambazo zimerithishwa vizazi kwa vizazi.”

Jibu: Hoja kwamba Mungu ni dhana ya kubuni hupuuzilia mbali ushuhuda wa kihistoria, kijamii, na kiroho. Historia inaonyesha kwamba wazo la Mungu linatokea kwa watu wa kila tamaduni, hata zile ambazo hazijawahi kuwasiliana. Hii inaonyesha kuwa dhana ya Mungu si matokeo ya kurithishana tu, bali ni sehemu ya uelewa wa kina wa mwanadamu.

8. “Einstein na Newton kukiri uwepo wa Mungu hakuthibitishi kwamba yupo.”

Jibu: Einstein na Newton hawakuthibitisha uwepo wa Mungu moja kwa moja, lakini walikubali kwamba kuna akili ya juu kutokana na uzuri na utaratibu wa ulimwengu. Ingawa ushuhuda wao hauhitimishi mjadala, unatoa msingi mzuri wa kuelewa kwamba wazo la Mungu halipingani na akili za juu zaidi.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Ulimwengu HAUNA CHANZO.

Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
 
Kwa bahati mbaya cosmological argument sio hoja za uthibitisho.

Ni majaribio ya hoja zilizotolewa katika kujaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Hata hivyo zilishindwa.

Kama chanzo cha kwanza kinaweza kufikiriwa kutokuwa na chanzo na kwamba ni lazima iwe hivyo, kwanini tusifikirie hivyo hivyo na ulimwengu kuwa ulikuwepo milele na milele na hauna chanzo???

Kama kuna Deity anayekuwa exception kwenye mahitaji ya "kila kitu kuwa na chanzo" basi the same exception iwe applied kwenye Ulimwengu.

Na hata kama mtu akiamua kukubali hiyo nadharia kuwa kuna uncaused case bado hakuna kitu katika hiyo cosmological argument kitacho indicate kuwa huyo being ni huyu ambaye watu wamekuwa wakimuabudu kwa kumpa jina la Mungu.

Kwa hiyo the first mover au first cause haishabiani na tabia za deities ambao wanaabudiwa.
Kusema kila kitu kina chanzo ila Mungu hana chanzo ni logical fallacy. Inaitwa special pleading fallacy.


hamis77
 
Maadili Yamejengwa kwenye Kanuni za Mungu: Katika mtazamo wa kidini, maadili ya binadamu yanahusiana na Mungu kwa sababu Mungu ni chanzo cha wema wa mwisho na maadili haya ni mwonekano wa tabia yake. Bila Mungu, hakuna msingi wa lazima wa kutofautisha kati ya wema na ubaya.
Hapana

Dhana ya Mungu ndio imejengwa kwenye maadili.

Alianza mtu ndio ikaja dini

Mtu ndio aliyebuni dini, na ndio mtu huyo huyo aliyeanzisha dhana ya Mungu.

Dini na Mungu ni dhana ambazo zimeanzishwa na mtu.
 
Falsafa za Kiasili (Natural Law): Hata kama watu wasioamini Mungu wanatumia "Golden Rule," hoja ya Mungu inasema kwamba uwezo wa kufikiri kwa haki na huruma umetokana na Mungu, hata kama watu hawatambui.
Hizo sio hoja za Mungu, ni hoja za walioandika vitabu wakasema ni maneno ya Mungu.

Vitabu vya dini sio uthibitisho, yale ni madai
 
Musk sio Atheist ni mkristo na anaamini uwepo wa Creator. Fatilia vizuri interview zake mkuu.
Kila mtu alizaliwa "Atheist" Bila kuwa na imani ya aina yeyote ile.

Mpaka pale wazazi wako au walezi wako walipo kuaminisha kwenye imani fulani. Ndio ukawa mtu wa imani( Theist).

Kila mtu ni Atheist in Nature, Ni vile tu mnapumbazwa na kukaribishwa hizo imani zenu za Mungu na miungu.

Ila kila mtu huzaliwa bila imani ya aina yeyote ile ya Mungu au miungu.

Mpaka pale unapo aminishwa na kupumbazwa.
 
Kila mtu alizaliwa "Atheist" Bila kuwa na imani ya aina yeyote ile.

Mpaka pale wazazi wako au walezi wako walipo kuaminisha kwenye imani fulani. Ndio ukawa mtu wa imani( Theist).

Kila mtu ni Atheist in Nature, Ni vile tu mnapumbazwa na kukaribishwa hizo imani zenu za Mungu na miungu.

Ila kila mtu huzaliwa bila imani ya aina yeyote ile ya Mungu au miungu.

Mpaka pale unapo aminishwa na kupumbazwa.
Sikumjua Mungu kwa kufundishwa na mtu wala kusoma maandiko, Mungu yuko ndani ya mtu mwenyewe wala huhitaji kufundishwa na mtu kumjua Mungu na kila mtu ana Mungu wake "Your profound nature"
 
Ushuhuda wa watu waliopata uzoefu wa Mungu mara nyingi hutolewa kama hoja ya uwepo wa Mungu. Atheist anaweza kusema haya ni maono ya kufikirika, lakini hoja ya uzoefu wa kidini inaweza kutazamwa kwa mtazamo mpana:
Inatazamwa na nani?

Millard Ayo hapo juzi kati alifanya interview moja na dada wa kilokole anaitwa Zumaridi aliyedai kuwa alikuwa mbinguni.

Lakini waumini wenzake ndio waliokuwa wakwanza kumkataa na kusema ni muongo kabla hata ya Atheist kuipata hiyo taarifa.

Pamoja na hao waumini kumkataa mwenzao lakini wapo watu pia ambao huwaambii kitu kuhusu huyo dada na wanakuambia stori zake ni za kweli.

Ni kama tu ilivyotokea kwa Peter Popoff kuwa debunked na Randi kwenye ile miujiza fake ambayo alikuwa akiwaaminisha waumini wake.

Licha ya kwamba aliumbuliwa hadharani na ku reveal uongo wake lakini bado kulikuwa na waumini walioendelea kumuamini na kumuita nabii.

So hao wanaoamini hizo stori za shuhuda kwangu mimi hiyo hainishangazi kwasababu wajinga hawaishi.
 
Sikumjua Mungu kwa kufundishwa na mtu wala kusoma maandiko, Mungu yuko ndani ya mtu mwenyewe wala huhitaji kufundishwa na mtu kumjua Mungu na kila mtu ana Mungu wake "Your profound nature"
Nature si Mungu.

Mungu ni jina uchwara mlilo jitungia vichwani mwenu tu. Hasa nyie watu wa imani na dini.
 
Mfano wa Ndani ya Dini Tofauti: Ni kweli kwamba ndani ya dini tofauti, watu huenda wasielewane juu ya uzoefu wao wa Mungu. Hii si uthibitisho kwamba Mungu hayupo, bali inaonyesha tofauti za tafsiri za kibinadamu juu ya uzoefu wa Mungu.
Kwanini wasielewane kama ushuhuda unathibitisha mambo ya Mungu?

Kama unaweza kupotoka kwenye shuhuda kiasi cha kukosa kuaminika na waumini wenzako, kwanini usifikirie kuwa ipo possibility pia ukawa umepotoka kwenye dhana nzima ya uwepo wa Mungu?
 
Hoja ya Mantiki: Kutokana na falsafa ya "Principle of Credulity," uzoefu wa kidini unapaswa kuchukuliwa kama ushahidi halali mpaka ushahidi wa kupinga utolewe.
Tangu lini madai yakasimama kama ushahidi?

Hujui kuwa chochote kinacho daiwa bila ushahidi kinakuwa dismissed bila ushahidi?
 
Unasema Ushuhuda wa Binafsi Ni "Worthless"?

Kulingana na hoja za kifalsafa:

Ushuhuda wa binafsi si hoja ya moja kwa moja kwa wote, lakini unaweza kuwa ushahidi halali kwa mtu binafsi.

Kutupilia mbali ushuhuda wa binafsi kwa sababu haueleweki kwa wengine ni sawa na kusema ushuhuda wowote wa kipekee (kama uzoefu wa kisayansi wa mtu mmoja) hauna thamani. Ushuhuda wa kipekee bado unaweza kuchangia majadiliano.
Personal experience haiwezi kuwa ushahidi

Kuna mlokole alistuka usiku baada ya kuona kitanda kinatikisika akaanza kufanya maombi ya kukemea.

Asubuhi yake akawa anajisifu kwa watu kuwa usiku roho wa bwana alimtembelea na kumwambia kuna maadui wanajiandaa kukushanbulia.

Na kweli nilipolala nikastuka kuona kitanda kinatikisika. Ilikuwa ni wachawi wanatikisa kitanda kunipima imani.

Kabla hata hajamaliza majirani wakamkatisha "acha ujinga wako utakuja kufa kizembe lile lilikuwa ni tetemeko wenzako wote tulikuwa nje tukihofia kubomokewa na nyumba, tumekupigia simu uamke hupokei tukaamua tukuache"

So kusingekuwa na mtu wa kumkosoa, jamaa angekuwa peke yake hadi leo angeamini kuwa lile tukio ilikuwa ni wachawi ambao baadaye aliwashinda kwa maombi na ile ni moja ya shuhuda yake.
 
Soma vizuri nilichosema ,wewe umekata kakipande

Mungu, kama anavyofasiriwa katika falsafa na dini nyingi, ni kiumbe asiye wa kimwili (immaterial), asiye na mipaka ya nafasi (spaceless) au wakati (timeless). Kwa hivyo, hatuwezi kusema Mungu si halisia kwa sababu hafanyi kazi kama vitu vya kimwili.

Halisia haimaanishi lazima kitu kionekane au kishikwe; kwa mfano, hisabati, maadili, au nadharia za kisayansi kama gravity ni halisia hata kama si za kimwili.

Kwa hiyo, dhana ya Mungu inaweza kuwa halisia hata kama haifuati vigezo vya uhalisia wa kimwili.
Kitu ambacho kipo nje ya time, na ni immaterial, kisicho na mipaka ya nafasi watu waliwezaje kukijua kuwa kipo?

Kwasababu huko mbeleni nitakuuliza maswali mengi ambayo yatatokana na huu utata ambao wewe unaweza kudhani jibu lako limetoa ufafanuzi.

Huyu Mungu uliyemtaja hapo kwa sifa hizo ndio huyo huyo Mungu ambaye vitabu vyenu vya dini vimesema makazi yake yapo Mbinguni?

Huyo Mungu ambaye umesema hana mwili bali ni immaterial ndio huyo huyo ambaye vitabu vyenu vya dini vinasema alifinyanga udongo kumuumba Adam?

Na ndio huyo huyo baada ya kumaliza kumuumba Adam akampulizia pumzi mdomoni ili kumpa uhai Adam?

Halafu baada ya kumaliza kumuumba akamuambia nimekuumba kwa mfano wangu?
 
Ukisema "sheria ya uvutano imepimwa kwa kiwango cha juu sana" halafu ukashindwa ku quantify kiwango hicho na kuonesha hakibadiliki, umeshindwa kuonesha sheria ya uvutano haibadiliki.

Pia, sio tu umeonesha kushindwa kuonesha sheria ya uvutano haibadiliki, lakini zaidi, umeonesha kuwa huwezi hata kuiweka sheria ya uvutano kinambari.

Unapiga hadithi za maneno kwenye mambo ambayo yanaweza kuwa quantified kwa namba na kupimwa kwa namba.
Uyo Hamis77 Anatumia chatgpt , AI iyo inamjibia, na iyo AI imekuwa commanded kujibu Ivo, achana nae..
 
Kwa nini unalazimisha ulimwengu una mola muumba?

Jibu kwanza maswali niliyo kuuliza.
Hata kuwepo kwa ulimwengu, Hakuhitaji kuwepo huyo Mungu wako, unayefosi na kulazimisha awepo.

Una elewa hilo?
Thibitisha hili, kivipi na utuambie ili kitu kuwepo kinahitaji nini ?
Huyo Mungu kama ni muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu wala mabaya?

Yeye ni muweza ndio maana ameumbwa anavyotaka yeye, lakini angetaka pia hilo angeweza bali angetaka kutufanya sote tukamuamini pia pia angeweza kufanya hivyo, kama linavuothibitishwa hilo kwenye Qur'an.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

USITUMIE vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema eti ndio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Uwepo wa hivyo vitu vinathibitisha uwepo wake. Bali kutaka ushahidi juu ya uwepo wa Mungu, ni kuonyesha ni namna gani unafikiria kitoto.

Uwepo wako wewe unathibitisha juu ya uwepo wa wazazi wako kwa maana umezaliwa.

Uwepo wa Mola ni "Self evident truth.".

Wewe unawezaje kuthibitisha kutokuwepo kwa kitu ambacho hakipo Wala hakikuwahi kuwepo ?
Hujathibitisha Mungu yupo, ila unafosi kutumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema ndio uthibitisho wa Mungu.

Nilikwambia na Ninakwambia hivi, Thibitisha uwepo wa huyo Mungu( Yeye kama yeye).

USITUMIE vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikiria na kusadikika.

Labda uniambie nikuthibitishie mara ngapi ?

Tuambie Sasa na ututhibitishie ya kuwa hivi vilivyomo vimekuwepo tu pasi na kuumbwa.

Utuambie umejuaje kama hivi vitu vimekuwepo tu na utuambie inakuwaje kitu kikawepo tu from no where au kikajiumba chenyewe.

Sasa hivyo vitu ambavyo vipi tayari ndio vinathibitisha uwepo wa Mungu. Sasa vipi nisivitumie. Yaani ni sawa na wewe nithibitishe uwepo wako pasi na uwepo au pasi na kuwaongelea wazazi wako. Hivi una akili kweli ? Au uwepo wa nyumba pasi na kumuongelea Msanifu na mjenzo wa hiyo nyumba. Hivi una akili kweli ? Au unasoma unasoma unachokiandika ?
Muhammad S.A.W ndio alimtunga huyo Allah, Ilikuwa kipindi cha huyo mtume wenu Mudi.

Wewe kisai na wenzako wote wa imani ndio mliandikiwa huyo Mungu(Allah) na kuwekewa kwenye kitabu mnacho kiita Quran.

Thibitisha hili ya kuwa Mtume alimtunga Mungu na iliwezekana vipi hili ?

Sababu Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandika. Hili unatakiwa ulitolee ushahidi.
Uwepo wa ulimwengu, Hauhitaji uwepo wa huyo Allah.

Ni wewe tu unafosi na kulazimisha hivyo.

Tuthibitishie hili, na utuambie kwamba ilikuwaje up mwengu ukawepo ? Na ikawaje ulimwengu ukajipangilia hivi ulivyo kwa nidhamu tukufu na ya kutajika ?

Maana yake unataka kutuaminisha ya kuwa Ulimwengu una akili, una maarifa, una malengo na ni kamili. Kitu ambacho si sahihi hata kwa akili ndogo kama yako.
Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Vimekuwepo milele.

Havijaumbwa na yeyote.

Vimekuwepo ndio maana tumevikuta vipo na vitaendelea kuwepo.

Visingekuwepo tusingevikuta vipo.

Hivi umekisoma hiki ulichokiandika ? Yaani unaandika kama ngonjera hivi.

Kama vimekuwepo milele mbona vinakufa na vina ukomo ? Uwepo wa milele ni ule ambao hauathiriwi na mabadiliko kijana.

Umejuaje kama havijaumbwa na yeyote ? Ulimwengu una maarifa ? Una hisia una utambuzi unajua ?


Basi huyo Mungu wenu pia Si kitu.

Huyo Mungu wenu ni Nothing.

Hayupo.
Mungu wetu ni kitu.
Infinity= isiyo kuwa na mwisho.

Hata ulimwengu hauna mwisho.

Ulimwengu una mwisho.
 
Huyo Allah wa kwenye Quran, Hajawahi kuonekana physically.

Hana tofauti na Abunuwasi wa kwenye Hekaya.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hiyo Quran yenu ni hadithi kama hadithi zingine tu.

Nani alikwambia kuwepo kitu mpaka kionekane ?

Bado hujathibitisha ya kuwa Qur'an ni Hadithi sababu Haina sifa ya Hadithi za kutungwa. Ndio maana mwanzo nilikuuliza unajua hii Qur'an ? Jibu sahihi huijui ndio maana unailinganisha na vitu ambavyo havifanani nayo.
 
Hata kutaka kuswaliwa, kuaminiwa na kuabudiwa ni sifa ya udhaifu.

Ndio maana mnakaa kila siku kuswali swala tano kwa Allah mdhaifu na mchovu ambaye hawezi hata kuwapa mahitaji yenu mpaka msali kumkumbusha na kumuomba.

Yeye haitaji hivyo vyote, bali ameiweka amri na maagizo kwa lile lengo ambalo yeye ametuumba kwalo na kwa faida yetu sisi waja.

Yeye hata sisi tusipomuomba Wala kumuabudu hapubgukiwi na chochote wala hakoongezeki chochote kwake.

Wewe ambaye una mkana mbona amekupa uhai na rizki ? Hii inaonyesha wazi ya kuwa Allah ni mkamilifu.

Wangapi hawamuombi na wanamuasi na anawapa ? Huo ni utaratibu ambao amejiwekea.
Allah wenu huyo ana exist kwenye kitabu cha Quran tu, wala hajawahi kuwepo na hayupo popote pale.

Huyo Allah wenu hana tofauti na Abunuwasi ambaye ana exist kwenye kitabu pia.

Thibitisha hili.
 
Back
Top Bottom