Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

Safi mkuu kuna wengine search history zao ukiziona lazima ujiulize mara mbili hivi huyu ndio trudie ninayemjua kweli 😃😃😃😃😃
Mimi sina mauza uza kwenye simu, hii chrome yangu ni jf kwa sana mambo mengine ni mara chache sana ndio nasearch.
 
Mtoa mada ulikua unamsearch Alicia kanini?
Ndio mkuu nilimsearch ili nione japo sura yake.....alitrend sana instagram week iliyopita katika coment nikaona wanaongelea video yake inatia kinyaa maana kafungulia bomba la uzima. Nina kinyaa mno so nikamsearch nimwone sura tuu video zake nikawa nazipita nisiharibu siku yangu.
 
Ngoja niwekee simu charging 😭
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-192456_1.jpg
    106.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…