😁 mambo mengi duniani😂 hicho kipepeo ndio kinanifurahishaga, leo uko down ama shida nini?
Siku 3 mtu akulishe, akuvishe maana hukuwa na nguo za kubadili uangalie muvi sebuleni na nguo zake na ulivyo msupuuu 😳. Na kipochi manyoya hakikuchakatwa 😆Genuine people exist! Imagine ni opposite gender!
Sijatoa kitu🫢
Wema bado wapo!
Hebu acha hizo imaginations zako! Wote tulikuwa tumeokoka jamani, halafu uzuri sikustuck hapo pekeangu tulikuwa wanne😅.. afu mi sio msupuuu!kipochi kinangoja mmiliki, we kwanini unawaza uzinzi? Shindwaa!😆Siku 3 mtu akulishe, akuvishe maana hukuwa na nguo za kubadili uangalie muvi sebuleni na nguo zake na ulivyo msupuuu 😳. Na kipochi manyoya hakikuchakatwa 😆
Kama sijasahauDepal ukiniambia hi nyimbo ilitumika kwenye series gani kuna zawadi yakoView attachment 3511201
Enh jamani ngoja niiangalie sasa hivi😁Seran kuna dada kwenye hii movie mmefanana sanaView attachment 3511200
De upo kimya sijakuona