SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Hii jamaa alimnanga demu wale wa kuitwa Serena Gomez
Ile ngoma ya call out my name ndio alilalama kuhusu selena, na kiufupi selena alimtumia kumuumiza justin. Miaka hiyo ya 2017 au 2018 huko kipindi bado nipo uholanzi. Jamaa yeye alikuwa na pisi yake inaitwa hadidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…