ππ Keep the memories aliveHahahah umenikumbusha enzi nasoma tena primary tunaimba na wadogo zangu nyumbani ila jmnπππ
Na kucheza hizo style zao ss saizi uroto umekata naanzaje ntaangukia vyombo bureπππGen Z ππ
Huo mwaka nilikuwa 5 pia
Mi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tuMi nilikiwa mbabe jamaniπππππ maisha ya shule ni matamu sana aisee ila tu usiwe taira taira unaonewaπ€£
Dosho kazaliwa 2012 πWe dosho wakati nakusubiri ukue kue nikubemendeππππ
Huo sio upoleMi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tu
Magazijuto = 25 ππmi nilikuwa nafikisha miaka 52 π
Bahati mbaya tu sijawahi kupenda shuleniβ¦ ila vijana wapole aisee ungenikomaπππMi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tu
Upole marufuku humu duniani πMi nilikiwa mbabe jamaniπππππ maisha ya shule ni matamu sana aisee ila tu usiwe taira taira unaonewaπ€£
Dosho kazaliwa 2012 π
Angalia username yake
Hapo simu sijui kaiba ya nani
Khee kwaio dosho anataka kututapeli wamama wa 90sπππDosho kazaliwa 2012 π
Angalia username yake
Hapo simu sijui kaiba ya nani
Analeta michezo πKhee kwaio dosho anataka kututapeli wamama wa 90sπππ
Huyu ndo wale wavuta bangi wa chini chiniπHuo sio upole
Ni ujeuri
Wapole walikuwa wanakaa mbele kabisa tena upande wa katikati
kha! Ntakuachia laana, omba radhi haraka sana πMagazijuto = 25 ππ
Ambatanisha NIDA ππkha! Ntakuachia laana, omba radhi haraka sana π
Wanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamojaHuyu ndo wale wavuta bangi wa chonochiniπ
Skanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine πWanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamoja