ππbado kusizSkanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine π
Kabisa mkuu, hawa ndio wazee waandamizi...
Nishaanza tu kuchoka naishia kusikiliza mara moja moja lakini nitanunua tu ipo sikuI hope ushajinunulia maiki uwe unaimba ndani π
Hao tumesoma nao hata chuo, vijana wa kaskazini wametulia tu wakimya wanakaaga nyuma ukiwasogelea ndioo utajua unadeal na gangsta wa ganiπππWanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamoja
Nishamtwanga kelebu mojaπ«’Hapoo pa kum approach mpaka afike baharini π
Na kucheka cheka ka falaSkanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine π
Unajifanya mpenda amani kila mahaliπππbado kusiz
Unaongeleshwa kumbe we ushafika Mars
Na mzigo hauna baya, lazima ujitambulishe kwa harufu nzuri πHao tumesoma nao hata chuo, vijana wa kaskazini wametulia tu wakimya wanakaaga nyuma ukiwasogelea ndioo utajua unadeal na gangsta wa ganiπππ
Hiyo kitu ilinifanya niupende wimbo wa wiz khalifa- so high nilikuwa nasikia rahaπ afu upo zako road tripβ¦oyaaaπ€ͺNa mzigo hauna baya, lazima ujitambulishe kwa harufu nzuri π
Apate kichapo heavyπππ ila siku moja moja nakuacha wakufunze adabu
Sawa ila pambano likianza hakuna kurudi nyuma mpaka mshindi apatikane πNipo tayariππ
Nimekupa dedication somewhere huko juu. Utafute wimbo usikilize.Huu wimbo back then was among my favs.. sijausikia muda ila lyrics bado ziko kichwani.. hadi nimeimba ππ
Zamani kwenye vimbweta vya shule flani na rafiki angu mmoja - Rich kid
Tulikuwa na notebook zenye nyimbo.. only English songs ππ
Umeanza kunitishia maisha sioπSawa ila pambano likianza hakuna kurudi nyuma mpaka mshindi apatikane π