ππ Afu Hawaachanagi kirahisi watu wa hivyo..Hiyo kitu ilinifanya niupende wimbo wa wiz khalifa- so high nilikuwa nasikia rahaπ afu upo zako road tripβ¦oyaaaπ€ͺ
Anirudie analiaaApate kichapo heavyπ
Kwa wapi? Sijaona notification mbona..Nimekupa dedication somewhere huko juu. Utafute wimbo usikilize.
Wanao ongea sana hamna kazi πUmeanza kunitishia maisha sioπ
Umesema utaniacha nipigwe πππRefa sina upande mbona
Siku moja moja sasa ili hasira zipande zaidi, afu unaziongezea na πUmesema utaniacha nipigwe π
Kwa wapi? Sijaona notification mbona..
Hapa labda dosho12 asiwepo kwanzaπSeran unaonaje tukigusanisha nyama kwa nyama π View attachment 3534847
Siamini unanigeuka shenesti ππSiku moja moja sasa ili hasira zipande zaidi, afu unaziongezea na π
Ukija kumshika tena ni kipigo juu ya kipigo