Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Kali sana hadi series yake kali sana ileeHili game nililikubali sana 😃
Duh kumbe lina paka series yakeKali sana hadi series yake kali sana ilee
ItafuteDuh kumbe lina paka series yake
Ulikuwa unamtumia character gani?Kali sana hadi series yake kali sana ilee
😂 ukalitafute na hiliKuna game moja la racing nimesahu jina lake ni la rough road alafu magari ni kama ya kwenye mad max hilo game niliangalia trailer yake ila ni nzuri
Poa😂 ukalitafute na hiliView attachment 3545299
Sweet toothUlikuwa unamtumia character gani?
Hamna anajua au
Goma kali
kwa kuwa vin ni mtu wa mjani nini 😅
Ananibania sana sijui kwanini🥲kwa kuwa vin ni mtu wa mjani nini 😅
Vincenzo Jr njoo utupe connection ya kupata moshi 😁Ananibania sana sijui kwanini🥲