Muite Harmful muuza vibiriti kabisa awe standby πVincenzo Jr njoo utupe connection ya kupata moshi π
Cash in hand πMsinikope ila mtanifirisi π
Kwahiyo Vincenzo Jr hanyongi kabisa kabisaπ€Na Uza na rizla mwambie na dosho12 π
Me sijajua mkuu me nauza viberiti tu ila wakazi wa mtaa wa 420 siwajui vizuri πKwahiyo Vincenzo Jr hanyongi kabisa kabisaπ€
Naiongeza kwenye playlist yangu ya leo
Unakwama sasa! Wateja wako ni kina nani?πMe sijajua mkuu me nauza viberiti tu ila wakazi wa mtaa wa 420 siwajui vizuri π
sitaki kuwaweka rehani wateja wangu πUnakwama sasa! Wateja wako ni kina nani?π
Au sioπ tutakutana tu we ngojaπsitaki kuwaweka rehani wateja wangu π
Tutakutana wapi mbona unanitisha π we mteja au shushushu πAu sioπ tutakutana tu we ngojaπ
Mimi winga wa viberiti na dawaπ€£Tutakutana wapi mbona unanitisha π we mteja au shushushu π
Kama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu πUnapotea umekosa niniπ kwani na we hauheshimu utawala?π
inabidi tukataftie ulizi πKama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu π
Watakaokuletea chai nao watawekwa ndaniπ€£Kama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu π
Kazi ngumu hizi πinabidi tukataftie ulizi π