Huwa unatumia app gani kusikiliza muzikiMi napenda sana muziki,,, yaani kama ndio unanipa afya ya akili,!!!!! Mi nilipaswa kuwa dj poker ukinikuta kwenye machine yangu huwezi amini.
Hujalisahau na afu Unanikumbusha mbalii na hilo jina 😂Depal ongeza hii chilita katika playlist yakoView attachment 3546040
Katika ngoma nazipenda za GAME, basi ni one blood na dream..
Naomba siku niwe mgeni wako, unigonge nyimbo zako kali kali zote, niifurahie siku hiyo.Mi napenda sana muziki,,, yaani kama ndio unanipa afya ya akili,!!!!! Mi nilipaswa kuwa dj poker ukinikuta kwenye machine yangu huwezi amini.
Thank you pokerAaliyyah ishi na hiiView attachment 3546046
😂 kwahiyo saivi katoto kamekuwa kanakuitaje?Hujalisahau na afu Unanikumbusha mbalii na hilo jina 😂
Kuna katoto ka rafiki angu nilikuwa nakapendaaa, na kenyewe kamenizoea.. Sasa hakawezi kuita jina langu ndio kakawa kanaishia kuita Chilitaa …
#Chiquitita tell me what’s wrong…
Tuombe uzimaNaomba siku niwe mgeni wako, unigonge nyimbo zako kali kali zote, niifurahie siku hiyo.
Apple playHuwa unatumia app gani kusikiliza muziki
And a boy loves a girl ♥️nakwede97 hii usiache kuisikiliza leoView attachment 3546041
Inshaallah...Tuombe uzima