Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Deep sorrow!Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita...View attachment 3158342mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi ππ Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'unππ
Mungu wanguππππKijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita...View attachment 3158342mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi ππ Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'unππ
Itakuwa ni vilio kila konaIts painful π£
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon ππ
Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?Its painful π£
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon ππ
Maafa ya Kariakoo na Katesh, nchi imepitia pagumu samaKijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
View attachment 3158342
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi ππ Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'unππ
Unazand ni wasaw uokoz wa jengo moja uende zaid ya siku tatu ___? Kwa karn hii mkuuMajanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?