Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
La kwetu ni floor nne tu na wiki nzima imekatika sasa tangu lianguke.Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
(Surat Al-Hadid, 57:20)"Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo tu, na pumbao, na mapambo, na kujifaharisha baina yenu, na kushindana kwa wingi wa mali na watoto."
Mikoa ya pembezoni tutoe wapi ghorofa kakaIts painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Hilo jengo la Kariakoo halijaporomoka kutokana na sababu za kuwepo kwa tetemeko la Ardhi..Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
Ata akipatikana na akafungwa au kuhukumiwa kifo itasaidia nini mkuu.😭😭 Inauma sana, hivi mmiliki wa Jengo yuko wapi hadi sasa?
Mweshimiwa katuambia 20WAmekufa wengi lile jengo ni kubwa
Ata akipatikana na akafungwa au kuhukumiwa kifo itasaidia nini mkuu.
Hatuko salama MUNGU tu.Its painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐