Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Mjomba ishu ya raisi kutoa pesa imepigiwa kelele sana, raisi hakaguliwi wala hashitakiwi kwa matumizi yake mabaya ya pesa zisizojulikana chanzo chake.

Watu wanahusianisha hizo 700M na janga la kariakoo, mimi ninachokiongelea ni kua pamoja na hilo janga bado mambo mengine yaendelee.
Ila wengi wanalitumia hilo suala kisiasa zaidi kitu ambacho sio sawa, akitoa 5M kila goli ni sawa, ila kutoa pesa kipindi cha janga ni kosa, si unaona hizo double standards.
 
700m zann Kwa Taifa stars? Hv sule zetu zinaridhisha ? Vituo vya afya havina changamoto ? Ccmu ni kaburu
 
Rais kugawagawa pesa wakati hakaguliwi ni vibaya sana.

Anaweza kufanya hata money laundering.

Huelewi wapi?
 
Rais kugawagawa pesa wakati hakaguliwi ni vibaya sana.

Anaweza kufanya hata money laundering.

Huelewi wapi?
Ninyi ndio hamuelewi.
Sijakataa kugawagawa pesa hovyo ni janga ila ninyi kulitumia janga la kariakoo kupush agenda yenu ndo tatizo hapo maana hajaanza leo kufanya hivyo.

Mimi ninaandika ya kua, kutoa hizo 700M hazina athari yoyote kwenye hilo janga la kariakoo.
 
Mambo ya imani hayana ithibati ya kisayansi, ni super natural powers.
Hayana ithibati ya kisayansi kwa sababu ni uongo.

Unajuaje hili halina ithibati ya kisayansi kwa sababu ni imani na hli halina ithibati ya kisayansi kwa sababu ni uongo?
 
Ni imani, kama wewe ni mwanasayansi basi si rahisi kukuaminisha, huwezi kuamini yasiyoonekana, ila yapo.
Unajuaje hili halina ithibati ya kisayansi ila ni kweli, na hili halina ithibati ya kisayansi ila ni uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…