Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu mtoto wa kishua na yeye ni mchapakazi,ni mbunifu yupo karibu sana na vijana toka enzi zile akiwan na Masai inc.

Iliwasimamia wanamuziki kama Gangwe Mobb,Noorah.

Jamaa anajua vingi na anaweza kujitoa,shida moja anajisikia sana hapendi kujishusha akijirekebisha atakuwa mtu poa.
 
Kwa hiyo ni mtoto wa kishua? Halafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuwaza kijana mdogo "cza" a.k.a. Ceasar Elias. Sebastian Maganga hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunakariri sana maisha,kwanini Seba,Clouds ni kampuni,na kampuni ina watu wa maamuzi,we means business,soko la redio na Tv la mwaka 2000 ni tofaiti na soko la redio/Tv la miaka ya leo,duniani mambo yanabadilika sana hasa kitekinolojia,tujiulize tu kati yetu hapa ni wangapi huwa wanaketi nyumbani kutazama TV,au kusikiliza redio,dunia ya sasa ni dunia ya Digitalization,sio zama ma msanii kutoa nyimbo na kuitegemea redio impromote ,siku hizo kuna platform mbalimbali za kuweza kutoka,sasa mnavyompoint moja kwa mona Seba sidhani kama mnajua Marketing strategies za miaka ya leo,je huyo Seba ana ubunifu gani,ana uzoefu gani,ka achieve nini so far,Benki ya CRDB juzi juzi DR Kimei amestaafu baada ya kuipa mafanikio makubwa mpaka hapo ilipo,pamoja na mafanikio iliyo nayo na talented staff iliyo nayo imeenda kumchukia MD wa sasa ndugu Nsekela toka upande mwingine(NMB),unaweza kuona kuwa wamefata uwezo wa mtu badala ya kutazama urafiki,izalendo,na umekaa mda gani na CRDB,wangeweza kumpata MD toka ndani humo lakini viatu vyake havikutosha,hivyo ndivyo Business duniani zinavyokwenda,......"hakuna atakae ziba pengo" ni msemo tu,any person anaweza kuleta mafanikio sehemu,kuna watu wazuri zaidi ya Ruge out there sema kwa kua hamuwajui au hawajapata platform ya kuonekana,.....Nashauri Clouds watafute mtu atakae endeleza yaliyoachwa na Ruge,tena i suggest atafutwe mtu mwenye uwezo popote pale kama ni ndani au nje,dunia inaenda kasi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa..


Ila nafikiri yule mchora katuni anafaa zaidi na ana 'guts' zaidi ya seba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu umenena vyema, tofauti ni kwamba clouds imeendeshwa kifamilia zaidi, ukiingia clouds umeingia katika familia moja kubwa sana tofauti na wapinzani wake, marafiki wamekutana, wameendana, wamefanya kazi pamoja wamekuwa mpaka hapa ilipofikia, truth be told, ruge kuondoka ni pigo moja kubwa sana kwa clouds media, but that wont drag clouds down, kiukweli mrithi wa ruge atatoka pale pale clouds ama wakamchukue ssebo wa efm/etv ambae amejifunza kwa ruge kama wakitaka kuendelea kwa namna yao wanavyo operate tofauti na hivyo waamue kubadili mfumo wao wa operations uwe kama wa ipp, ukiangalia hata efm/etv wame amua ku adopt huu mfumo

Nimebarikiwa kukutana na baadruge mwenyewe is irreplaceable hilo halikataliwi, kuna list ya national treasures kwa wasanii, wanasiasa na hata wafanyabiashara but wengi wao mtawajua siku wakifa
 

asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…