Watanzania tunakariri sana maisha,kwanini Seba,Clouds ni kampuni,na kampuni ina watu wa maamuzi,we means business,soko la redio na Tv la mwaka 2000 ni tofaiti na soko la redio/Tv la miaka ya leo,duniani mambo yanabadilika sana hasa kitekinolojia,tujiulize tu kati yetu hapa ni wangapi huwa wanaketi nyumbani kutazama TV,au kusikiliza redio,dunia ya sasa ni dunia ya Digitalization,sio zama ma msanii kutoa nyimbo na kuitegemea redio impromote ,siku hizo kuna platform mbalimbali za kuweza kutoka,sasa mnavyompoint moja kwa mona Seba sidhani kama mnajua Marketing strategies za miaka ya leo,je huyo Seba ana ubunifu gani,ana uzoefu gani,ka achieve nini so far,Benki ya CRDB juzi juzi DR Kimei amestaafu baada ya kuipa mafanikio makubwa mpaka hapo ilipo,pamoja na mafanikio iliyo nayo na talented staff iliyo nayo imeenda kumchukia MD wa sasa ndugu Nsekela toka upande mwingine(NMB),unaweza kuona kuwa wamefata uwezo wa mtu badala ya kutazama urafiki,izalendo,na umekaa mda gani na CRDB,wangeweza kumpata MD toka ndani humo lakini viatu vyake havikutosha,hivyo ndivyo Business duniani zinavyokwenda,......"hakuna atakae ziba pengo" ni msemo tu,any person anaweza kuleta mafanikio sehemu,kuna watu wazuri zaidi ya Ruge out there sema kwa kua hamuwajui au hawajapata platform ya kuonekana,.....Nashauri Clouds watafute mtu atakae endeleza yaliyoachwa na Ruge,tena i suggest atafutwe mtu mwenye uwezo popote pale kama ni ndani au nje,dunia inaenda kasi sana!
Sent using
Jamii Forums mobile app