Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

Kampeni zimeanza hata kabla Ruge hajazikwa?? Kweli kufa kufaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh?!! Hawajui kuwa Coca Cola, itabaki kuwa hivyo na hali kadhalika PEPSI itabaki kuwa PEPSI. Ruge ni mmoja na alitenda kadiri ya karama aliyojaliwa na Muumba wetu. Aje mtanzania mwingine ambae ataendeleza gurudumu kwa namna yake na karama zake na si "eti" kwa kuvaa viatu ambavyo alivaa Ruge!
 
Ukweli huu wengi hawatauelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hassan Ngoma anatosha........amezaliwa UK!
 
you have a point
 
hivi kaacha kupaka super black kwenye nywele?
 
isitoshe masoud ni mcha mungu .ni ngumu sana kumudu
 
Na hio ndio asili ya watu wanaopenda fursa always, yupo radhi akupake perfume mbele ya jamii hata kama umejinyea ilimradi apate anachotaka tu. Kuna kibarua cha kumtafuta mtu mwenye calibre hio, ndio walau ata match na culture yao.

To make shit worse RIP ndio alikuwa mastermind wa michongo mingi tu, so kusaga alikuwa ni kama anasainisha deal tu, ila Ruge ndio mpambanaji na mpanga safu ya mashambulizi. 90% brain ya Ruge 10% Kusaga. Sasa kwanini usilie machozi! Thats a major loss lazma kampuni itayumba kinamna flani. You need a better strategist to success in business hasa kipindi hiki ambako rivals washakuwa wengi.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…