mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Mstari wa,nani huuAnapiga pamba kama sebastian maganga,niki ngonyani au john dilinga.
From profile picture to proper future
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstari wa,nani huuAnapiga pamba kama sebastian maganga,niki ngonyani au john dilinga.
Naskia home boy wa Ruge ndio anapiga jaramba kurithi wadhifa wa ndugu yake wa mkoa mmoja.
Inspector Haroun(Gangwe Mobb) ft Namsa Khamis Kidogo - Vidonge Vyao.Mstari wa,nani huu
From profile picture to proper future
Umeona eeh?!! Hawajui kuwa Coca Cola, itabaki kuwa hivyo na hali kadhalika PEPSI itabaki kuwa PEPSI. Ruge ni mmoja na alitenda kadiri ya karama aliyojaliwa na Muumba wetu. Aje mtanzania mwingine ambae ataendeleza gurudumu kwa namna yake na karama zake na si "eti" kwa kuvaa viatu ambavyo alivaa Ruge!
Ukweli huu wengi hawatauelewaClouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.
Ataleta culture tofauti ndani ya kampuni, mwisho wa siku kampuni itasuasua wamlaumu.
Sidhani kama Masoud yuko tayari kumnyekea na kujikomba kwa Bashite ili mambo yaende.
Hassan Ngoma anatosha........amezaliwa UK!Huyu mtoto wa kishua na yeye ni mchapakazi,ni mbunifu yupo karibu sana na vijana toka enzi zile akiwan na Masai inc.
Iliwasimamia wanamuziki kama Gangwe Mobb,Noorah.
Jamaa anajua vingi na anaweza kujitoa,shida moja anajisikia sana hapendi kujishusha akijirekebisha atakuwa mtu poa.
We jamaa hamna kituHv Panya hawezi kaa pale akafanya hizo shughuli za Ruge
you have a pointClouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.
Ataleta culture tofauti ndani ya kampuni, mwisho wa siku kampuni itasuasua wamlaumu.
Sidhani kama Masoud yuko tayari kumnyekea na kujikomba kwa Bashite ili mambo yaende.
hivi kaacha kupaka super black kwenye nywele?Huyu mtoto wa kishua na yeye ni mchapakazi,ni mbunifu yupo karibu sana na vijana toka enzi zile akiwan na Masai inc.
Iliwasimamia wanamuziki kama Gangwe Mobb,Noorah.
Jamaa anajua vingi na anaweza kujitoa,shida moja anajisikia sana hapendi kujishusha akijirekebisha atakuwa mtu poa.
isitoshe masoud ni mcha mungu .ni ngumu sana kumuduClouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.
Ataleta culture tofauti ndani ya kampuni, mwisho wa siku kampuni itasuasua wamlaumu.
Sidhani kama Masoud yuko tayari kumnyekea na kujikomba kwa Bashite ili mambo yaende.
Asee ni shemeji yangu kabisa huyo, ameniolea dada yangu upande wa mama.Please tell me nani huyo
Clouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.
Ataleta culture tofauti ndani ya kampuni, mwisho wa siku kampuni itasuasua wamlaumu.
Sidhani kama Masoud yuko tayari kumnyekea na kujikomba kwa Bashite ili mambo yaende.