Mfano mzuri ni fiestaNa hio ndio asili ya watu wanaopenda fursa always, yupo radhi akupake perfume mbele ya jamii hata kama umejinyea ilimradi apate anachotaka tu. Kuna kibarua cha kumtafuta mtu mwenye calibre hio, ndio walau ata match na culture yao.
To make shit worse RIP ndio alikuwa mastermind wa michongo mingi tu, so kusaga alikuwa ni kama anasainisha deal tu, ila Ruge ndio mpambanaji na mpanga safu ya mashambulizi. 90% brain ya Ruge 10% Kusaga. Sasa kwanini usilie machozi! Thats a major loss lazma kampuni itayumba kinamna flani. You need a better strategist to success in business hasa kipindi hiki ambako rivals washakuwa wengi.
Washapoteana mbona, na uzuri wenzetu huwa wanajiandaaga kwa kuwa na succession plan. Sidhani kama Clouds media wana hio plan.Mfano mzuri ni fiesta
Exactly. Vidole avifanani...Sijawahi kuamini katika hadithi ya kuziba pengo. Dunia hii yenye wakazi billions, kila mtu ni unique Kama finger prints.
Jimmy kavu,, umemsahau hapoAnapiga pamba kama sebastian maganga,niki ngonyani au john dilinga.
Dah watu mnamanenoHuwa namuangaliagaaa, afu najiuliza huyu bro wanamkanyaga nini, maana sio kwa kujipara vile, sijui ushamba i don know, utafikiri huwa anapiga kiwi kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inspector harunMstari wa,nani huu
From profile picture to proper future
Muwasaidie na wale wa pale'kwa wahaya' karibu na ile hospital,nadhani umeshawaelewa.MHAYA tutajitazid kuziba ilo pengo Maana hamna kabila lingine hapa bongo linaweza ziba ilo pengo
Ahsante wahaya moto ni ule ule tuwasasaidie wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unamaanisha UKEREWE.Hassan Ngoma anatosha........amezaliwa UK!
Hahahaa....... Wabongo bhana!
You never know, japo Joe alikuwa nyuma ya mic/camera sidhani kama yuko vibaya sana.Washapoteana mbona, na uzuri wenzetu huwa wanajiandaaga kwa kuwa na succession plan. Sidhani kama Clouds media wana hio plan.
Huyu nimemsikia leo akijitambulisha kama 'Hassan TANZANITE ngoma!' Sikupata kufahamu kama Tanzanite ni moja ya majina yake.Hassan Ngoma anatosha........amezaliwa UK!
Hahahaa..........!! Utamjua tu mkuu jamaa ndio boss wa kipindi cha Clouds 360!Huyu nimemsikia leo akijitambulisha kama 'Hassan TANZANITE ngoma!' Sikupata kufahamu kama Tanzanite ni moja ya majina yake.
Hahahahaa yes nilimsahau Jimmy Kabwe.