Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Jamaa alikuwa vizuri sanaa..

Jamani yote kwa yote na Mimi nitoe pongezi,safu ya wasaidizi/usalama wa Hayati Mh Magufuli tuupe pongezi wote walikuwa makini sana...

Hivyo hivyo tutegemee pia kwa Raisi Mh Samia..
Hii safu yote Mungu awapiganie majukumu yote watakayopangiwa.

Majina yao juu kwenda chini

-Sabastian Mwavanga

-Simkumbuki vzr mtanikumbusha

-Alikuwa Mpambe wa Raisi Luteni Kanali, Bernard Mlunga

-Kaloli Chonde



Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…