kifuvu
Member
- Sep 23, 2011
- 28
- 16
Kutoka kulia, Einhard Mwanga, Ally Masera, Mwakapasa huyo wa kwanza kushoto simfahamuKulia kwakoView attachment 1730037
Kutoka kulia, Einhard Mwanga, Ally Masera, Mwakapasa huyo wa kwanza kushoto simfahamuKulia kwakoView attachment 1730037
Inaitwa aggressive and violent psyylicking
Ni sawa tu, ingawa siyo rahisi kiasi hicho!Wakiendelea kumlinda Rais aliyepo mtasemaje?
CamradeKutoka kulia, Einhard Mwanga, Ally Masera, Mwakapasa huyo wa kwanza kushoto simfahamu
Yaan siku ile nilipiga sarakasi mwili wote nikamuangukia hubby🤣🤣🤣...i 'll miss him dearly....babangu tone nikama ya.magu..bas ifakara kajizoelea umaarufu balaa.. had maneno yakukera..ametoka niambia nw wangari unakula sana nyama..mara mbuzi mara kuku mara fisi🤣🤣🤣punguza body hilo🤣🤣Akamponda Sana Mbunge Baadaye Akaambiwa Mbunge Ni Wa Ccm
Akabadili Gear Angani Akasema Mbunge Hoyee. 😅😄😃😂😁😀😃🤣😂😆
Jiwe Amelala Mauti
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Amsamehe Makosa Yake Yote
Ukweli Tutamkumbuka Kwa Mengi Sana
Nyie mabinti hamtoshelezwi na waume zenu eeeh?Weekend ya maombolezo hii ujue.
Sasa niwe na wivu kwa kazi inayoweka rehani maisha yako mwenyewe au niwe na wivu wa kusinzia mbele ya mikamera..🤣🤣Acha wivu
Tutosheleze weweNyie mabinti hamtoshelezwi na waume zenu eeeh?
Njoo!!Tutosheleze wewe
Sasa niwe na wivu kwa kazi inayoweka rehani maisha yako mwenyewe au niwe na wivu wa kusinzia mbele ya mikamera..🤣🤣
KwendraaaNjoo!!
Hahhahahahaaahha hahqhhqhqa...nacheka mie🤭😁😁majibu yako tu yanawakilisha ni jinsi gani una moyo wa husda,isitoshe hata mshahara wake wa mwenzi mmoja ni mapato yako ya jumla kwa mwakao
Haa 😅😄😃😂😁😀Yaan siku ile nilipiga sarakasi mwili wote nikamuangukia hubby🤣🤣🤣...i 'll miss him dearly....babangu tone nikama ya.magu..bas ifakara kajizoelea umaarufu balaa.. had maneno yakukera..ametoka niambia nw wangari unakula sana nyama..mara mbuzi mara kuku mara fisi🤣🤣🤣punguza body hilo🤣🤣
Kakosa kickTuache utani,Gwajma mzee wa ufufuo yukwapi?
Una Nyege za muda gani Dada yangu?Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona👣👣👣
Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli 💔😢🙏
Busy anafufua watuTuache utani,Gwajma mzee wa ufufuo yukwapi?
Hahhahahaaa kennedy kmmko🤣🤣🤣🤣Haa 😅😄😃😂😁😀
Akiwa Arusha Wakati Gambo Ni RC
Aliandaliwa Wanachama Wa CDM Wanarudi Ccm. Muda Ukafika JPM Akapanda Jukwaani
Akamwambia RC Wako Wapi Watu Wako!🙄😶
Kumbe Wanachama Wamekula Corner 😁😎
JPM Jukwaani Bila Kuzima Kisemeo Akasema
Pumbavuu 😅😄😃🤣😂😁😀
Mbona pale Nyerere hajafika kufufua?Busy anafufua watu
Anayo sehemu yake maalum ya kufanyia kazi zake.. tusubiri amfufue jembe letuMbona pale Nyerere hajafika kufufua?