Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Hahhahahaa mkewe atammis...jamaa alikua anapenda sex sana
Kuloweka Alipenda Mno 🤩😘😍😋😋😊
Siku Aliyomwapisha Kamishna Wa Maadili Ya Utumishi Wa Umma
Akasema Sitaki Mambo Ya Kutaja Mali Halafu Kutuma Kwa Mtandao 🙄😶
Kama Umetaja Una Nyumba Ndogo 😅😄😁😀
Halafu Password Ikaibwa Itakuwa Aibu
Tujaze Form Za Mali Tuzipeleke 🤣😂😄😅😄😃😐
 
🤭😁😁majibu yako tu yanawakilisha ni jinsi gani una moyo wa husda,isitoshe hata mshahara wake wa mwenzi mmoja ni mapato yako ya jumla kwa mwakao
Ha ha! Mkuu tufanye umeshinda maana ushaanza nibadili jinsia na unasapoti mlinzi wa rais kulala yote kheri ila mi sina husda yoyote be cool.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Ili ufit kuwa mfuasi wa Kigogo inatakiwa akili ziwe zimehamia makalioni.

Toka jana wanatuwekea tweet humu kwamba jamaa yupo hoi Nairobi.
View attachment 1730328
Acha Unafiki na Ujuha. Utayajuaje ya huyo Kigogo tena kwa Taarifa zake ksma na Wewe siyo Mfuasi ( Follower ) wake katika Kurasa zake zote za Kijamii?

Tuacheni Unafiki tukiwa hapa JF ila ukweli utabaki pale pale kuwa Wengi wetu tunamfolo na hata kama kuna muda anakosea kwa Taarifa ila kwa 85% Mambo ambayo huwa anayaibua tena yenye Maslahi kwa nchi achilia mbali uliokuwa Ugomvi wake na Marehemu ( Hayati ) Rais JPM.

Namalizia kwa Kusisitiza tuacheni Unafiki.
 
Kama wote tungemuonyeshea upendo kiasi akiwa hai na hakika JPM wetu umauti usingemkuta
 
Kabisa...kono kono.
Jamani kama humu kuna mjeshi, komando au FFU aje Pm....mjue nawapenda.
Walioolewa na hao watu wana raha sana.

Sio unamshika mkono mwanaumr anateleza na Nivea yake....hahahahaha
Me jeshi la akiba mgambo naruhusiwa kuja
 

Attachments

  • DDA53F53-873E-4187-B78E-7C8C82D959FB.png
    DDA53F53-873E-4187-B78E-7C8C82D959FB.png
    69.9 KB · Views: 17
Back
Top Bottom