Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,688
- 8,274
Siku hizi wamebadiri mkuu. Wanataka brack na mrefuNyie sindio mnasemaga mnapenda shombe shombe?
Siku hizi wamebadiri mkuu. Wanataka brack na mrefuNyie sindio mnasemaga mnapenda shombe shombe?
Mwanaume blak ana matter zaidi...Siku hizi wamebadiri mkuu. Wanataka brack na mrefu
Ahahaaaa....Huwa wanapenda black and tolu guys..ila wanataka kuzaa watoto shombe shombe..wanawake ni viumbe wa ajabu sana..ndio mana ukikamata we peleka moto tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Body kama yako😋Siku hizi wamebadiri mkuu. Wanataka brack na mrefu
Hahaha upewe ulinzi popote ulipoHuwa wanapenda black and tolu guys..ila wanataka kuzaa watoto shombe shombe..wanawake ni viumbe wa ajabu sana..ndio mana ukikamata we peleka moto tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kunipa Dp
Hapana usiweke hiyo jamani, mi naona huruma ujueAsante kunipa Dp
Nshaweka muuudaHapana usiweke hiyo jamani, mi naona huruma ujue
Malaika beach Mwanza mwanza
Huyu.jamaa anaingilika.
Msg sent
Naona colchicine imefanya kazi yake ila ikakuletea uhanga! Ila pole na hongera kwa kupona. Natumaini sasa unatumia barakoaMwanaume blak ana matter zaidi...
Sina hata barakoa...nashindwa pumua freshNaona colchicine imefanya kazi yake ila ikakuletea uhanga! Ila pole na hongera kwa kupona. Natumaini sasa unatumia barakoa
Kumbe wanapiga pesa ndefu eeeh?. Huu ndio mkitu wake?
Naona hujajifunza , kujikinga muhimu hata muke ya FFU anavaa (Demi )Sina hata barakoa...nashindwa pumua fresh