Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Bhebhe ng’wanike one lekaga shi ugudukana...Km bibi ako
Bhebhe ng’wanike one lekaga shi ugudukana...Km bibi ako
Hii picha ni ya asubuhi kwenye misa ya kumuaga JPM pale St. Peters OysterbayWe unadhani hiyo picha ya lini?
Jitahidi sana upunguze hao Funza waliojazana katika hup Ubongo wako tafadhali.Hujielewi.
Mbona hiyo tweet ipo kwenye kila thread humu hao wapuuzi wenzio wanaileta humu.
Ni nyie wajinga wenzie tu ndiyo mnatuletea huo upuuzi huku.
Dumila
Ukipita Sasa Hivi Utaona Vibanda Alivyopanuliwa Mama. [emoji28][emoji1][emoji8][emoji7][emoji39][emoji4][emoji6]
Yupo TCRA mtaalam wa ITYule mweupe alisoma udsm yupo wapi
Mwazoni mwa utawala alikuwa mlinziwa Raisi baadae ghafla akatowekaYupo TCRA mtaalam wa IT
Namkubali sana Yule mshikaji sanaYupo TCRA mtaalam wa IT
Ivi mwanaume kama yule awe na uzito wa kilo Mia na msichana una kilo sitini analala kifuani na shows anapiga uchoki.
Yaan akikukumbatia...hahahaha ..alale salama kwakweli...
Endapo kama uliamini kafa, upo sahihi kwamba amefufukaHii picha ni ya asubuhi kwenye misa ya kumuaga JPM pale St. Peters Oysterbay
Au kafufuka mbona sielewi
Kabila gani na anatoka mkoa gani huyu[emoji23][emoji23]View attachment 1730519
We anayekufaa ni mwarabu fighter.Mie namtazamaga mnoo...uwiii usinitie majaribuni best😇😇😇...joto kama lote
Usikariri...😅 ya jana haya tuyaacheIvi mwanaume kama yule awe na uzito wa kilo Mia na msichana una kilo sitini analala kifuani na shows anapiga uchoki
Nalekaga kakaBhebhe ng’wanike one lekaga shi ugudukana...
Ndiyo Ukweli WenyeweKumbe walikubali kupanuliwa?
Afu wengine wanaoongoza kwa utamu ni hawa wanajeshi....hasa umkute yule aliyejazia kifua na mikono...
I wish siku nimpate komandoo...
Afu sijui kwanini nawaza haya au kwa kuwa nimeshashiba ugali?
Sijala kande sasa.
Mie mwanaume akishajazia tu....naweza mpa bureeeee