Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika

Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona👣👣👣

Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli 💔😢🙏
wewe mama D acha hizo kumbe mnapenda wanaume weusi hebu tuambie siri ya mtungi ni nini.Sasa mbona kwenye kuzaa watoto mnapenda watoto shombe shombe mjue huwezi panda mahindi ukapata mpunga.Wanawake watata sana.
 
Ila wanaume mna wivu wa kijinga kweli, sie wanawake tunaposifia mtu haimaanishi tunamtamani kufanya nae ngono, tunasifia na inawezekana akatongoza na akakataliwa vile vile,
Sio kweli ...!
 
wewe mama D acha hizo kumbe mnapenda wanaume weusi hebu tuambie siri ya mtungi ni nini.Sasa mbona kwenye kuzaa watoto mnapenda watoto shombe shombe mjue huwezi panda mahindi ukapata mpunga.Wanawake watata sana.
😂😂😂😂😂😂 jamani! Mbona sjasema napenda watoto shombeshombe?
Kweli sisi watata🙌🙌
 
Madame nacheka hapa wananishangaa jaman[emoji1787][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787] spare my ribs jaman nakuomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwiiiii nilishasemaga humu mm..mwanaume mtamu yule ambaye hajali kuhusu ngoz..dah...nashindwaga ielezea..kuna wanaume wana had moisurizer
Kwahiyo hata wenye ukurutu sawa tu ili mradi anakupiga mbupu vizuri
 
Back
Top Bottom