Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Si naona mapovu yanakutoka...hebu nitue mie..mxiewlete kamba
kiti
nijinyonge kwa sababu ya utopolo.
Si naona mapovu yanakutoka...hebu nitue mie..mxiewlete kamba
kiti
nijinyonge kwa sababu ya utopolo.
Ukurutu si ugonjwa huo sasaKwahiyo hata wenye ukurutu sawa tu ili mradi anakupiga mbupu vizuri
Hahahaa wapo mbonaLevel gani ya hela.. ukikuta mtu ana too much money.. hizo haiba za ukomandoo ngumu sana kuzikuta, ila kama ni hela ya kawaida ya nyumba, mlo anao taka, gari mbili au tatu, baadhi yao utawakuta wame combine..
Tupo wachache sana, alafu na upatikani wetu ni adimu.Hahahaa wapo mbona
Manengelo tulia unyolewe.Si naona mapovu yanakutoka...hebu nitue mie..mxiew
Nikome....tena usinizoeeManengelo tulia unyolewe.
Hata ukienda kuchumbia mahali wazazi wake swali la kwanza wanauliza jamaa anafanya shughuli gani huo ndo ukweli wa kimaisha mkono mtupu haulambwi dada yangu.Hata ungekuwa ni wewe usikie binti yako kapata mchumba lakini CV yake anabwia unga,ni shoga anavuta bangi ni jambazi huwezi sikia raha.Wewe amini chochote kile kadri fikra zako zinavyokutuma, maana muda wa kuanza kubadilisha imani yako sinao
Nishakuzoea sijui nifanye nini?Nikome....tena usinizoee
Ana kitambi sasa hiviKwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona[emoji188][emoji188][emoji188]
Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji174][emoji22][emoji120]
Asante kwa pichaKulia kwakoView attachment 1730037
KaribuAsante kwa picha
Mkorofi weweAna kitambi sasa hivi
[emoji23]mwite Frank Sebastian Anold
[emoji23]Anaitwa Alex luambano, nikupe namba yake akakuzagamue?
Akili zangu zinatosha kujenga maisha.Tatizo wale hawana hela [emoji1][emoji1]
Utaishia kulishwa maharage tu .
Wale Wana miguvu ya mwili sio akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
Anataka kulelewa huyo...achana naeNikome....tena usinizoee
Hata kama wana kibamia...mie zile sare zao tu hoii.Unaweza kuta mlamba lips anasugua Gaga kuliko FFU[emoji1]
Hao ndo wanaume wa Jf bhana.Ila wanaume mna wivu wa kijinga kweli, sie wanawake tunaposifia mtu haimaanishi tunamtamani kufanya nae ngono, tunasifia na inawezekana akatongoza na akakataliwa vile vile,
Wewe ungana na Philipo D. Ruzige kusimamia usafi wa mazingira ndani ya kata utakayopangiwa mkuu.Me jeshi la akiba mgambo naruhusiwa kuja