COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,830
😀😀 Uchi pake utachafua Chuka zhenuDarling yani unamsifia mwanaume mwengine hadharani. Na mimi Sasa naenda kujipaka kiwi
😀😀 Uchi pake utachafua Chuka zhenuDarling yani unamsifia mwanaume mwengine hadharani. Na mimi Sasa naenda kujipaka kiwi
Shwazinigga!mara Frank mara Sebastian mara Arnold tumuite lipi sasa jamani
Unadhani ndoani yapo? atamfurahisha wa mtaani tuHuyo mumewe akitoka nje anakuwa cursed kbs...dah..
Asalaleeeee... walahiii. Mungu kwanzaHainaga makombo wala haina risiti.
Mie ni haluwa, nina utamu wa kuzaliwa.
Alikuwa anamwa lakini mungu mkubwa karudi hata jana tulikuwa nae msibaniYuko wapi
Yupo bwashee atapangiwa kazi zingineKwani kafukuzwa kazi?
Tuheshimiane tafadhaliNikupe contact zake?
Yupo.Kw
Kwani na jamaa hayupogo?
Kabla ya mechi mi uzama chumvin 45-60 minutes mfululizo. Baada ya hapo kinachofuatia Yesu na baba yake tu ndo wanafahamKutaja namba rahisi...ingia mzungukoni sasa kama utamaliza hata round one.
Kama nakuona ukitoka mbio na boksa yako mkononi
ngoja niusome
Ana color tamu balaa
unafukuwa nini huko?Kabla ya mechi mi uzama chumvin 45-60 minutes mfululizo. Baada ya hapo kinachofuatia Yesu na baba yake tu ndo wanafaham
Madame B kapumbavuuu!! Umefungulia tena siku hizi au umeshaachika nini?😁😁😂😂😂Binti!!!
Nani binti...mie lijike haswaaaa nakukojolesha mpaka ule mshono ulio katikati ya kokwa za korodani unafumuka..
Kwanza unao huo mshono au najifurahisha tu hapa?
Sasa nyie si mnapenda wenye ngozi ngumuUkurutu si ugonjwa huo sasa
Hizo nguvu hata sisi tunazoAkili zangu zinatosha kujenga maisha.
Mie nataka nguvu ya mwili na ya kitandani
Serious. Picha basi manake body na height ni ugonjwa wangu without shame.Ana color tamu balaa
Tumuoneeeee kwanza afu tutachagua kama tunataka ama hatumtakiiiHata kama hutaki utataka tu ....lol