Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Hata ukienda kuchumbia mahali wazazi wake swali la kwanza wanauliza jamaa anafanya shughuli gani huo ndo ukweli wa kimaisha mkono mtupu haulambwi dada yangu.Hata ungekuwa ni wewe usikie binti yako kapata mchumba lakini CV yake anabwia unga,ni shoga anavuta bangi ni jambazi huwezi sikia raha.
Kila mtu na bahati yake mkuu, binti yangu akisema kampenda mbwia unga ni yeye na maisha yake
 
Pale Ben Pub.
Ndo palikuwa chaka langu maana ni jirani na home.
Mhhh....ulinionaje?
Ila wanaumeeee.....sio wewe wa siku ike PapiChullo?
Nimepoa maana uzee unakaribia...nalea mjukuu sasahv afu samtaim kazi zetu si za kujiachia sana mitandaoni....lol!!!
😀😀😀 yaah hapo hapo Ben Pub.. kitambo sana ile. Kinondoni pande hizo na miaka kaibao sijakanyaga miguu yangu, tokea 2014 sijawahi fika hizo maeneo...

Mjinii unazeekaje weweeee
 
Wanajeshi, FFU na Makomandoo wa mkoani Dodoma NAWAPENDA JAMANI.
Me mwananchi wa kawaida ila mnanikosha sana na body, na sare zenu.

Nahitaji mpenzi jamani.
Tukimaliza maombolezo, aliye serious aje Pm.
Sihitaji pesa.
Mie napenda company tu.
Ihumwa, Makutupola....FFU near Central Police tambuka reli....mko wapi.

Nahitaji company na mengineyo.
Nimeshindwa kuvumilia.
 
Wanajeshi, FFU na Makomandoo wa mkoani Dodoma NAWAPENDA JAMANI.
Me mwananchi wa kawaida ila mnanikosha sana na body, na sare zenu.

Nahitaji mpenzi jamani.
Tukimaliza maombolezo, aliye serious aje Pm.
Sihitaji pesa.
Mie napenda company tu.
Ihumwa, Makutupola....FFU near Central Police tambuka reli....mko wapi.

Nahitaji company na mengineyo.
Nimeshindwa kuvumilia.


Hahahahajahaa nimecheka sana
 
😀😀😀😀😀.. mie nimezidi kuwa mdogo, tukisimama hivi watu wanaweza sema katoto kako au kadogo kako ka mwisho.. acha tuendlee kuwazeesha mkae nyumbani tu mlee wajukuu
Duh!
Sasa kama umerudi udogoni itakuwaje pale kati?
Ila na-type huku nina majonzi.
Magufuli kaniuma sana.
 
Pole mwaya.
Afu huyu Sebastiana angejua na mie niko Dom, wala nisingesumbua hv.
Hata uzi wake jamani hauoni.

Basi atakuja kuuona baadae akisharudi Dar.
Atakuwa keshachelewa....hahahaha
Achia namba hapa atakutafuta akishauona uzi!
 
Back
Top Bottom