Hv mmekumbuka hata kubeba sanitizer? Jaman mnaelewa corona ipo? Hii nyomi sio ya kitoto jamani....
Hapo ulivyolowesha chupi ikimwagiwa sabuni unafua inatoa povu kabisa[emoji23]waooh the guy is soo too very sexy
nimewaza mbali sana.
Ndio kwasababu mademu na wake zao kunipendawanaume tena?
Yes chief yupo TCRA tunakula nae kahawa ni mtu poa Ni mtu wa watu hana makuuMwazoni mwa utawala alikuwa mlinziwa Raisi baadae ghafla akatoweka
mama D ni mkeo?Tuheshimiane tafadhali
Au sindio?Hapana sijaoa bado
Khaaa!!!!,Akikuomba mzigo utampa???.Ana color tamu balaa
Na Mimi nipo km yule jamaa.Haya tukutane Pm.Nasema uongo ndugu yangu?.Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona[emoji188][emoji188][emoji188]
Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji174][emoji22][emoji120]
Alale salama nani tena jamani?.Huyu kidume ambaye Moyo wako umemdondokea si bado yupo hai?..
Yaan akikukumbatia...hahahaha ..alale salama kwakweli...
Acha apelekewe motooo.Mke wa mtu weye.....
wacha tamaa
Hizi picha mnazitoaga wapi mazee??.
Sio kwamba nahitaji! Nimempa sifa zake tuu....kazi ya macho ni kuonaNa Mimi nipo km yule jamaa.Haya tukutane Pm.Nasema uongo ndugu yangu?.
Yaani....Nimeamini vizuri havidumu💔💔
Yes i meant Magufulu alale salama ..mchumba yupoAlale salama nani tena jamani?.Huyu kidume ambaye Moyo wako umemdondokea si bado yupo hai?.
Ngoja kwanza aombe mkuu tusiruke stageKhaaa!!!!,Akikuomba mzigo utampa???.