Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Hahaaaaa. Uwiiiiiii. Ila kuna tumaksi nimemnyima. He looks silly. Mi mwenyewe silly so sitaki silly looking men labda mtupie picha ingine ambayo yuko serious kidogo.
Hahaaaaa. Uwiiiiiii. Ila kuna tumaksi nimemnyima. He looks silly. Mi mwenyewe silly so sitaki silly looking men labda mtupie picha ingine ambayo yuko serious kidogo.
Sasa nyie si mnapenda wenye ngozi ngumu
Sasa kwa mfano Mimi nafanya kazi ofisini Ina kiyoyozi Niko na kompyuta na mafaili siku nzima hio mikono migumu nitaipata wapi [emoji1] sizoi taka ,sibebi tofali,sibebi zege [emoji1787] Ila hela ya kukunulia wine ninayo
Ila wewe unataka wenye mikono migumu yenye magaga [emoji1787][emoji1787] Wana miguvu miingi [emoji1787][emoji1787]
Hahahahah wewe tena🤣🤣🤣waooh the guy is soo too very sexy
nimewaza mbali sana.
Umeyataka mwenyewe.....tulia ulambe dawaAsalaleeeee... walahiii. Mungu kwanza
Acha weeeee... longtime sijakuona sijui umepoa sasa hivi.. 2013 nilikuona pale kinondoni opp na open uvirsity kulikuwaga na ka pub flani hivi.. ile minofu na mazoezi yangu ya Cuba ningekuuaa aiseee ... ningekupelekea moto wa uraniumUmeyataka mwenyewe.....tulia ulambe dawa
Mtafanya vijana wa jf wajinyonge, sio kwa madongo haya 😀😀😀Hahahahah wewe tena🤣🤣🤣
Mambo uwa kuendeana chumvini ni under 25...sie wengine tuliobaki ni kichapo kitandani.Kabla ya mechi mi uzama chumvin 45-60 minutes mfululizo. Baada ya hapo kinachofuatia Yesu na baba yake tu ndo wanafaham
hii picha snahisi alipiga malaika resort/hotel pale mwanza
Jukwaa la wakubwa limefungwa, unadhani hasira zetu tunamalizia wapi...popote pale nitakapokutana na 'mada mgusano'Madame B kapumbavuuu!! Umefungulia tena siku hizi au umeshaachika nini?😁😁😂😂😂
Gwanda zako za mgambo au kama ninazozitaka?Hizo nguvu hata sisi tunazo
Tunasimamia ukucha mwanzo mwisho kama unataka Ile ki-savage unapata pia na mashine ndeefu Kama ya Julio gomez
Pale Ben Pub.Acha weeeee... longtime sijakuona sijui umepoa sasa hivi.. 2013 nilikuona pale kinondoni opp na open uvirsity kulikuwaga na ka pub flani hivi.. ile minofu na mazoezi yangu ya Cuba ningekuuaa aiseee ... ningekupelekea moto wa uranium
Ah wap...tunastorika tu best....Mtafanya vijana wa jf wajinyonge, sio kwa madongo haya 😀😀😀
[emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa mwaya....
Utu uzima dawa mdogo wangu.
Mwanaume hata akipiga cross multiplication mkono wako, kichozi kinatoka.
Mara viutani vya hapa na pale.
Mara umempiga msuli wake wa mkono...mara umemdandia mgongoni kakubeba...
Njoo sasa kwa hawa akina nanilii walamba lips.
Hawako romantic kabisa, utadhani umekaa na demu mwenzio.
hakyamungu nimecheka 😂😂😂Binti!!!
Nani binti...mie lijike haswaaaa nakukojolesha mpaka ule mshono ulio katikati ya kokwa za korodani unafumuka..
Kwanza unao huo mshono au najifurahisha tu hapa?
Ila mlinzi humwombei,sindiyo?Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona👣👣👣
Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli 💔😢🙏
Tuko nae hapa uhuru 🙏Ila mlinzi humwombei,sindiyo?
nipeni connection nimtoe stress za msiba..Hahahahah wewe tena🤣🤣🤣
Wapambane na hali zaoMakapuku ndo walivyo
.usishangae muda wotr wanawazaga hay ..watafute tu hela
wanaume tena?Wangu sasa ukiona body langu si utazimia? Kwasababu wakati wa summer napara wakati mgumu sana kwa madem na wanaume kunionea wivu.