Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Jamaa anaonekana yupo na afya timamu.
Kazi yake unafikia Ukingoni ijumaa rasmi,anarudi kambini kupangiwa kazi nyingine
 
Hakuna kitu raha kama kuumbwa mwanamke ujue...... mimi ndio maana sitaki habari za haki sawa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Wacha nibaki mwanamke nideke tuu😜😜😜😜
Deka mamaaaa....deeekaa.....
Ila definition ya haki sawa kjla mtu abaki nayo tu...
 
Dah
FB_IMG_16164101739340412.jpg
FB_IMG_16162642670042562.jpg

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Sijakuona Dodoma, au ulitangulia unguja?
Nimetangukia Unguja, nisipopata nafasi hata ya kutandaza shuka langu ili mwili wa mpendwa wetu upitie juu yake...naenda Mwanza!
Pumzika kwa amani JPM, umetuonyesha jinsi ya kutenda mema kwa muda mchache wa uhai wetu!
 
Ukitoka huko tukutane Mwanza au Chato?

Lala salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 💔💔💔🙏🙏
 
Back
Top Bottom