Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Hakuna kitu raha kama kuumbwa mwanamke ujue...... mimi ndio maana sitaki habari za haki sawa[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Wacha nibaki mwanamke nideke tuu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Teynaaa!!!!
 
Shida inakuja hapo mzee baba....! Yaan hamjaelewa...mwanaume hafai jaman kupaka hata minivea ..akipauka sana basi vaseline
Mi napaka hayo hapo[emoji1][emoji1]
JPEG_20210322_174235_5445816056602409340.jpg


Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Pole mwaya.
Afu huyu Sebastiana angejua na mie niko Dom, wala nisingesumbua hv.
Hata uzi wake jamani hauoni.

Basi atakuja kuuona baadae akisharudi Dar.
Atakuwa keshachelewa....hahahaha
Na hicho kimbelembele chako Hadi utolewe kucha na ndio utaelewa kumbe hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Pole mwaya.
Afu huyu Sebastiana angejua na mie niko Dom, wala nisingesumbua hv.
Hata uzi wake jamani hauoni.

Basi atakuja kuuona baadae akisharudi Dar.
Atakuwa keshachelewa....hahahaha

Zinazoumia ni sehemu za siri
 
Shida inakuja hapo mzee baba....! Yaan hamjaelewa...mwanaume hafai jaman kupaka hata minivea ..akipauka sana basi vaseline
Dah!

Nafarijika sana ninapokusoma hapa.

Nazidi kupata imani kwamba hata mimi si ajabu yupo atayeniona nafaa licha ya lisura langu hili.

Kama Sebastian [hivi ndo jina lake la ukweli au basi tu mmembatiza hilo?] mpo mnaomwona anafaa....basi hata mimi matumaini yapo aisee😁
 
Dah sijui anahali gani wakati huu, mwenyezi Mungu amtie nguvu.
 
Dah!

Nafarijika sana ninapokusoma hapa.

Nazidi kupitia imani kwamba hata mimi si ajabu yupo atayeniona nafaa licha ya lisura langu hili.

Kama Sebastian [hivi ndo jina lake la ukweli au basi tu mmembatiza hilo?] mpo mnaomwona anafaa....basi hata mimi matumaini yapo aisee😁
Hahahaa....mie huwa naamini mwanaume mwenye uso wa kibabe ana uwezo zaidi wa kusolve matatizo kuliko wanyonya lips..
Afu huwa very romantic yaan!.
Ukimpata si mbaya nikamfahamu wifi yangu🤭💃🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Back
Top Bottom