Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Hamzidi chochote aliyekua mlinzi wa Tundu Lissu wkt wa kampeni za Uchaguzi zilizopita
 
Acha Unafiki na Ujuha. Utayajuaje ya huyo Kigogo tena kwa Taarifa zake ksma na Wewe siyo Mfuasi ( Follower ) wake katika Kurasa zake zote za Kijamii?

Tuacheni Unafiki tukiwa hapa JF ila ukweli utabaki pale pale kuwa Wengi wetu tunamfolo na hata kama kuna muda anakosea kwa Taarifa ila kwa 85% Mambo ambayo huwa anayaibua tena yenye Maslahi kwa nchi achilia mbali uliokuwa Ugomvi wake na Marehemu ( Hayati ) Rais JPM.

Namalizia kwa Kusisitiza tuacheni Unafiki.
Hujielewi.

Mbona hiyo tweet ipo kwenye kila thread humu hao wapuuzi wenzio wanaileta humu.

Ni nyie wajinga wenzie tu ndiyo mnatuletea huo upuuzi huku.
 
Back
Top Bottom