Ukiwajaribu mwaya...wala hutawaachaNdo umenfungua akili skuwah kuwawaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu hata ukimdandia mgongoni haanguki mjueπ€πHaya waschana nimewaletea mpyaβΊβΊβΊβΊ
View attachment 1731582
Cc Wangari Maathai Madame B Noelia andromena
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli ππ
Atalia sana huyu mshikaji kwa sasa anajikaza tu lakini!ana hard time mnoooo!!!!Jamaa anaonekana yupo na afya timamu.
Kazi yake unafikia Ukingoni ijumaa rasmi,anarudi kambini kupangiwa kazi nyingine
πππππHuyu hata ukimdandia mgongoni haanguki mjueπ€π
Mie ningekuwa najipakatisha ..raha sana ujue .unapakatwa kono lake gumuuu...ahπππππ
Hahaha!Magu alikuwa anamwita caro light
Mie ningekuwa najipakatisha ..raha sana ujue .unapakatwa kono lake gumuuu...ah
Sijakuona Dodoma, au ulitangulia unguja?Hahaha!
Deka mamaaaa....deeekaa.....Hakuna kitu raha kama kuumbwa mwanamke ujue...... mimi ndio maana sitaki habari za haki sawaπββοΈπββοΈπββοΈ
Wacha nibaki mwanamke nideke tuuππππ
Haki sawa isiniondolee uanamke wangu,Deka mamaaaa....deeekaa.....
Ila definition ya haki sawa kjla mtu abaki nayo tu...
Nimetangukia Unguja, nisipopata nafasi hata ya kutandaza shuka langu ili mwili wa mpendwa wetu upitie juu yake...naenda Mwanza!Sijakuona Dodoma, au ulitangulia unguja?
Huyu hata ukimdandia mgongoni haanguki mjue[emoji2960][emoji39]
Mie ningekuwa najipakatisha ..raha sana ujue .unapakatwa kono lake gumuuu...ah
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Unataka nini lakiniππππDahView attachment 1731672View attachment 1731673
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ukitoka huko tukutane Mwanza au Chato?Nimetangukia Unguja, nisipopata nafasi hata ya kutandaza shuka langu ili mwili wa mpendwa wetu upitie juu yake...naenda Mwanza!
Pumzika kwa amani JPM, umetuonyesha jinsi ya kutenda mema kwa muda mchache wa uhai wetu!
Mara wilfred mwango nafb wakatuonesha page yakemara Frank mara Sebastian mara Arnold tumuite lipi sasa jamani