HahahaaaHuwa wanapenda black and tolu guys..ila wanataka kuzaa watoto shombe shombe..wanawake ni viumbe wa ajabu sana..ndio mana ukikamata we peleka moto tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani nakwambia ni vituko vya karneHuwa wanapenda black and tolu guys..ila wanataka kuzaa watoto shombe shombe..wanawake ni viumbe wa ajabu sana..ndio mana ukikamata we peleka moto tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kama ulishamwambia. Nilidhani hukueahi hivyo nikataka kukupa msaada kwenye tuta.Ukimuuliza atakuambia mama D alishambia hayo
Wewe fanya kukutana nae tuu uyajue
Wacha kwanza wampumzishe bosi wao.Warudi kambini sasa kwa majukumu mengine
Naam, Ndiye.Kwani huyu si ndo walisema amedead kwa corona Nairobi?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Team nzima ipo , inamsindikiza Boss.Mkuu Leo naona wapo wote wawili..
Ndio nasema baada ya 26thWacha kwanza wampumzishe bosi wao.
Mara Henry mara Kaloli..[emoji41][emoji41]mara Frank mara Sebastian mara Arnold tumuite lipi sasa jamani
Kwa hilo sihitaji msaada kwa kweli. NimetoshanaSawa kama ulishamwambia. Nilidhani hukueahi hivyo nikataka kukupa msaada kwenye tuta.
Yule jamaa mweupe sijui walimuamishia kwa nani..?Ndio nasema baada ya 26th
Mie namtazamaga mnoo...uwiii usinitie majaribuni best😇😇😇...joto kama loteWangari Maathai njooo umuone hansham hapa
Astagharullah! Tuko msibani Wangari Maathai 😎Mie namtazamaga mnoo...uwiii usinitie majaribuni best😇😇😇...joto kama lote
Aibu yaoNaam, Ndiye.
Wangu sasa ukiona body langu si utazimia? Kwasababu wakati wa summer napara wakati mgumu sana kwa madem na wanaume kunionea wivu.Mie namtazamaga mnoo...uwiii usinitie majaribuni best😇😇😇...joto kama lote
Haha Demi, ya bin'adam yaache kama yalivyo tu.
Aisee...na yule cheupe tumpeleke wapi?Mie namtazamaga mnoo...uwiii usinitie majaribuni best[emoji56][emoji56][emoji56]...joto kama lote
Hahahahaa abaki alee familia🤭
Mimi ni kama yeye.
Yaan akikukumbatia...hahahaha ..alale salama kwakweli...
Hahahaha.....pepo tokaMimi ni kama yeye