Teh teh...tupo msibani jamaniKuna wanaume ukimshika mkono utadhan umeshika tofali jaman dah had rahaa .sio men mkono softyyyyy ya nn sasa mm...
Si ban, inatolewaHaina haja mkuu.. Tunakumbushana tu, sote ndugu kuteleza kupo!!!
Madame nacheka hapa wananishangaa jaman🤣😍🤣🤣😍🤣🤣🤣 spare my ribs jaman nakuomba🤣🤣🤣uwiiiii nilishasemaga humu mm..mwanaume mtamu yule ambaye hajali kuhusu ngoz..dah...nashindwaga ielezea..kuna wanaume wana had moisurizerKabisa...kono kono.
Jamani kama humu kuna mjeshi, komando au FFU aje Pm....mjue nawapenda.
Walioolewa na hao watu wana raha sana.
Sio unamshika mkono mwanaumr anateleza na Nivea yake....hahahahaha
Karibu shoga....
Zamu yetu kesho tukutane mkuu.Nyie tukutane Uhuru
Unafungua koba la mwanaume unakutana na lipbam, Nivea na kitana cha kuchania ndevu.Madame nacheka hapa wananishangaa jaman🤣😍🤣🤣😍🤣🤣🤣 spare my ribs jaman nakuomba🤣🤣🤣uwiiiii nilishasemaga humu mm..mwanaume mtamu yule ambaye hajali kuhusu ngoz..dah...nashindwaga ielezea..kuna wanaume wana had moisurizer
Watu wabaya sana. Wanazusha mambo mabaya kwa wenzao. Sio vizuri na haipendezi kabisa.Kwani huyu si ndo walisema amedead kwa corona Nairobi?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mie namsubiri huku Dodoma.Zamu yetu kesho tukutane mkuu.
Wa kwangu ni mjeda, njoo nikuazime kwa muda.Karibu shoga....
Wanaume zetu wa kitanzania wanatupa raha sana.
Mwanaume unakutana nae mpaka unatamani awe mchepuko wake
Unafungua koba la mwanaume unakutana na lipbam, Nivea na kitana cha kuchania ndevu.
Asa tofauti yake na mimi si ni papuchi tu.
Mwanaume anavua nguo...makalio yamepauka kama ukuta wa jiko.
Ila shoo yake ya kibabe.
Mwanaume muda wote yupo na kioo....chaaaa!!!!
Walamba lips wana mambo
Aiseee hili jamaa kumbe huwa lina maisha nje ya kumlinda Rais!
Sio jina lake ilo mkuuKatika vitu ambavyo watu watamisi konvoi ya JPM ni huyu mlinzi wake anaeitwa Sebastian Mwavanga alikuwa pandikizi la mtu jeusi lisilocheka cheka hovyo alikuwa Ni alama kamili ya mamlaka ya Rais. Mwenye CV yake atuwekee hapa.
😂😂😂 Tuko msibani etiWewe tenaaa🤣🤣🤣🤣..mie sipendag kukuta kwa mada hizi..maana unanivurugaga balaa🤣🤣😂
Hizi ni picha zake za mwaka 2011 kabla ajawa mlinzi wa Rais
Ila Kuna watu waongo Sana, jamaa wa Twitter alisema huyo anaitwa kaloli. Ila kuwa na mijitu unayoiburuza Raha sanaTumesoma nae Saut yule jamaa! The guy was very cool,kasoma Law,nadhan alikua darasa moja na Patrobas Katambi!!
Shogare upo???Nyie tukutane Uhuru
DuhNishawahi pigwa shoo moja na mjeshi...wale si watu, wanakamua barabara.
Mie yale magandwa tu mie hoi.
Ila akivua, stimu zote zinakata....apige shoo na gwanda zake.
Yeah, wana pumzi wale....balaa
😂😂😂😂Umevurugwa sawasawa, sema ni vitombi sana ila tukubaliane sare za jeshi tamu sana zikivaliwa wakati wa game,Kabisa...kono kono.
Jamani kama humu kuna mjeshi, komando au FFU aje Pm....mjue nawapenda.
Walioolewa na hao watu wana raha sana.
Sio unamshika mkono mwanaumr anateleza na Nivea yake....hahahahaha
mama D si walisema amekufa mbona yupo hapo? JF Acha tuKulia kwakoView attachment 1730037