Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hii picha uliyotupia bado ina makorokoro mengi na haina nafasi. Cha muhimu kila mtu aishi kulingana na kipato chake. Kuna walioiga kupanga nyumba nzima wameishia kuwa watumwa wa wenye nyumba.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Hata hapo kwenye picha mbona kumejaa vitu vingi. Kwa mfano mbali na makochi na Tv ninaona hivi vitu pia kwenye hiyo picha;Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Usijali mkuu nani ajuae kesho yako?Sawa mkuu ila hayo maisha Kwa sie tunaojitafuta ni ngumu kidgo
Apa na comment huku nimekaa ghetto kwangu juu ya java la maji ya kunywa
Mbona hapo sioni kabati la vyombo, friji, redio home sieta wala visturi?Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Kuna mahali hesabu ina utamu wake, usipopata kipimo sahihi cha graphical method inamaana jibu lako ni chaka la Uganda Resistance Army [emoji851]Usisahau graphical method
Duniani tunapita tu, sasa kuna haja Gani hata ya kuwa na hiyo sebule njiani?Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Basi hakuna namna zaidi ya kuikataa CCM na vyama vyote vya upinzani, Tanzania inahitaji vijana wa 90s kuikomboa kutokaa kwa mkoloni mweusiKama huna sebule kama hiyo na unatamani kuwa nayo kuna uwezekano hautokaa uwe nayo kama hiyo.
Mpaka sasa hujui kuwa kuna tofauti ya kipato, mtu aliyepanga chumba na sebule unataka friji na jiko aviweke nyumbani kwenu?
Sasa ushindwe kung'amua jambo jepesi kama hili uje uweze kupambana na changamoto ngumu za mtaani kupata kipato.
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.