Wachina ndiyo wamejenga JWTZ yenu hiyo, Washauri wa PLA walijazana sana tangu kipindi cha Mzee Nyerere.
Wanabadilishana taarifa za kijasusi na TISS kama ambavyo CIA wanabalishana na MOSSAD. Sema tofauti yetu kubwa kati ya Serikali yetu na ile ya Israel ni kwamba Serikali yetu imewafanyia Wachina kazi huku wakipewa masilaha tu.
Kuna siku Mzee Nyerere alijisifia kabisa mbele ya Wazungu,
Akasema "The Chinese are my friends, if i need weapons and support i just say hey i need some weapons and they provide" Hahahaha anaongea hivi wakati huo watu tunapanga mstari kwenye duka la Ujamaa kuchukua sukari....Teh teh teh yule babu bwanaaa.