Tetesi: Secret cameras and microphones were discovered inside the African Union Headquarters. The Chinese is not a good man!

Tetesi: Secret cameras and microphones were discovered inside the African Union Headquarters. The Chinese is not a good man!

Hapa Trump atahoji, sasa mimi ninayewatukana na Wanaowadukua bora nani?
 
Kuna hiyo branch ya jeshi la China inaitwa PLA Unit 61398 USA mwenyewe anakoma kwa Mchina ije kuwa Africa!.
- The Cox Report
- Operation Honey Bear
- Operation Aurora
- Operation Shady RAT
- Operation Night Dragon
- Operation Titan Rain
Operation Aurora,vijamaa vilipiga mpaka Northrop Grumman Corp.
 
Operation Aurora,vijamaa vilipiga mpaka Northrop Grumman Corp.
Fatilia The Cox Report ilowasilishwa kwenye congress uone!..jamaa walipiga siri za makombora yote ya marekani hadi yale bado yapo concept lakini mchina akapata!!, zile ndege za hatari zote mchina akapata siri zake..Usimchezee next world emporer!!..
Kuna hiyo nyingine inaitwa OPERATION GHOSTNET huyu mchina ni balaa, labda mbabe wake Russia tu!!..
 
Hacking hakuna mbabe mkuu,ni timing tu na muda.Sema Warusi na wachina wakiwa hacked hawasemi,wanaona kama ni kujidhalilisha hadharani.Ila kama ni hacking wanapigwa kimya kimya nyingi tu.Mchina hana haja ya ku hack Russia,akitaka silaha ananunua na kufanya reverse engineering tu.Sasa marekani hataki kuwauzia wackomunist silaha yoyote,alishampiga hadi Israel mkwara asiuze defense technology kwa mchina.Sasa wachina cha kufanya wakaanza kufanya hacking ili kuiba blue prints za ndege n.k,Ukicheki J-20 Steath fighter ni copy cat ya F-22.Pia mwaka juzi kuna spy alikamatwa marekani akitaka kuiba siri za f-35 na B-2 spirit bombers.Mchina kwenye tech ya ndege bado yupo nyuma ya US na Russia.To keep up the speed inabidi atumie wizi tu.
 
Yeah na kingine Mchina akiwajua yeye hana kulalamika anaishia kuwaua kimya kimya
 
China has been accused of spying on the African Union (AU) headquarters, in the Ethiopian capital Addis Ababa, which they built in 2012 to house and host continental meetings and the biannual heads of state summit.

An investigation conducted by French media Le Monde Afrique and published on Saturday revealed that in the past five years, data from the AU servers in Ethiopia were transferred to servers in Shanghai at odd hours.

“In January 2017, the AU’s technical staff discovered that its servers were strangely active with a peak in data transfer between midnight and 2 am when it’s offices were empty. A computer scientist found that there was a massive transfer of internal data of the AU,” the report said.

Every night, the secrets of the institution were stored more than 8,000 km away from Addis Ababa on mysterious servers hosted somewhere in Shanghai, the report adding citing unnamed internal sources.

It also accused the Chinese of opening a window in the computer system of the $200 million-facility which they installed. The breach is suspected to be “intentional” to allow intelligence agencies and hackers to have illegal access to information.

An unnamed AU official told the French media that they have strengthened the building’s cybersecurity by inspecting the entire facility and changing the servers, microphones and other technologies installed by the Chinese.

“The Chinese have nothing to listen to. They have never colonized us. They have supported the struggles of independence on the continent and help us economically today,” the official told the newspaper calling for calm.

Another official said the Chinese are not the only ones spying as documents intercepted by Le Monde in collaboration with The Intercept indicates that the US National Security Agency (NSA) and the British intelligence agencies (GCHQ) have also spied on the AU building.

China has not yet responded to the espionage allegations.

Meanwhile, African heads of state and governments are gathered in Addis Ababa for the 30th AU Summit under the theme: “Winning the Fight against Corruption: A Sustainable Path to Africa’s Transformation”.

Among the guests present are UN Secretary-General Antonio Guterres, President of the State of Palestine and Chairman of the Executive Committee of the Palestine Liberation Organization (PLO), Mahmoud Abbas, and Secretary-General of the League of Arab States; Ahmed Aboul-Gheit.
Pale bara zima linapokosa wataalam wa mambo kama hayo unategemea Chinese wafanyeje?
 
Hv ule ukumbi wa mikutano wa kimataifa pale Dar si walitujengea wao?
 
Yeah na kingine Mchina akiwajua yeye hana kulalamika anaishia kuwaua kimya kimya
Na hii ndio hukumu halali ya spy,ni chuma tu.Nashangaa US wanawadaka na kuwweka jela.Ingekuwa nchi kama Russia anu China watu kama kina Snowden washakula chuma kitambo sana.Ila kwa US wanaitwa whistle blowers.Ila ndo hivyo tamaduni tofauti,Democratic na Comunism.
 
Hata Dodoma bungeni, kisha mnajidai hamtaki bunge live kumbe kule china liko live!
Hahaa China wanafuatilia bunge LIVE bila chenga. Hawa watu ni wa kuwa makini nao.
Na hivi serikali inahamia Dodoma wasijichanganye wakawapa wachina tenda za kujenga majengo ya serikali itakula kwao!
 
Hahaa China wanafuatilia bunge LIVE bila chenga. Hawa watu ni wa kuwa makini nao.
Na hivi serikali inahamia Dodoma wasijichanganye wakawapa wachina tenda za kujenga majengo ya serikali itakula kwao!
Hamna haja ya kuficha tupo uchi kabisa na hakuna madhara kwa serekali yetu, wenye madhara ni wale wanao tofautiana na serekali na serekali imewekeza kwenye kuwa kamata.
 
Na hii ndio hukumu halali ya spy,ni chuma tu.Nashangaa US wanawadaka na kuwweka jela.Ingekuwa nchi kama Russia anu China watu kama kina Snowden washakula chuma kitambo sana.Ila kwa US wanaitwa whistle blowers.Ila ndo hivyo tamaduni tofauti,Democratic na Comunism.
China wana kikundi spesho cha mtandaoni kupongeza serikali jina limenitoka tu!😀
 
Hapo Ukitaka kupotezwa nawasiojulikana

Waambie CCM wachina sio rafiki mwema kwetu

Mchina amejichimbia kona zote Tz anavuna pasipokupanda wala kupalilia
kama unaona hafai jaribu USA uone balaa lake boya wewe
 
Back
Top Bottom