Tetesi: Secret cameras and microphones were discovered inside the African Union Headquarters. The Chinese is not a good man!

Tetesi: Secret cameras and microphones were discovered inside the African Union Headquarters. The Chinese is not a good man!

Ukiwa huna pesa bhana unalalamikaweee halafu unanyamza. AU wangekuwa jeuri wangevunja hilo jengo wajenge jipya kwa fedha zao. Lakini sasa ndo hivyo, baba siyo ndevu ni waleti, inabidi kina Museveni na jeuri zao wawe wapole. Labda angekuwepo mzee wa kumwaga mkwanja Gaddafi.
 
Izo information walizozidukua wazitumie sasa
 
Waafrika tunazidi kuchezewa kila kukicha, walianza waarab kuturubuni na dini yao kisha wakachukua mababu zetu utumwani huku wakiwatesa vibaya sana, baadaye wazungu, nao wakaleta dini yao huku wakituibia madini yetu kwenda kujenga makwao na kutuchukua utumwani pia. Leo hii wachina, wanajifanya marafiki zetu kumbe wanaiba siri za viongozi wetu wezi na kuangalia namna ya kutuibia kwa kutudanganya wanatujengea ghorora pale Adis. Mchina akupe kitu bure?
 
Una hatari wewe!

Umesikia kwamba jeshi la ukombozi la China "PLA" wametukabidhi kituo walichotujengea kwa Shilingi Bilioni 68.87,
Kituo cha kisasa kabisaa cha kukabiliana na changamoto za kisasa kabisa ambazo zinatukumba Watanzania sisi ??
Raisi kasema "Awamu ya Tano inatambua mchango wa china katika ujenzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania" Haya ni maneno ya Raisi wa nchi.

Teh teh teh teh.........Bado unaamini mimi nina hatari wakati les ipsa loquitor (Facts speak by themselves)

Pitia hapa: Mapinga, Bagamoyo: Rais Magufuli azindua kituo cha mafunzo maalum ya kijeshi
 
Back
Top Bottom