Una hatari wewe!Wachina ndiyo wamejenga JWTZ yenu hiyo, Washauri wa PLA walijazana sana tangu kipindi cha Mzee Nyerere.
Wanabadilishana taarifa za kijasusi na TISS kama ambavyo CIA wanabalishana na MOSSAD. Sema tofauti yetu kubwa kati ya Serikali yetu na ile ya Israel ni kwamba Serikali yetu imewafanyia Wachina kazi huku wakipewa masilaha tu.
Kuna siku Mzee Nyerere alijisifia kabisa mbele ya Wazungu,
Akasema "The Chinese are my friends, if i need weapons and support i just say hey i need some weapons and they provide" Hahahaha anaongea hivi wakati huo watu tunapanga mstari kwenye duka la Ujamaa kuchukua sukari....Teh teh teh yule babu bwanaaa.
Hatari gani tena ???Una hatari wewe!
Hahahahaha mkuu nimecheka sana asee😀 kweli mwizi akikosa cha kuiba anaiba hadi majivu, sasa gizani huku wanadukua nini zaid ya vilio vya njaa, ukame, na vitu ambavyo vyepesi vyepesi
Vp dom kwenye greenhouse ?Uwanja wa Taifa sijui hawakuweka pale..???
[emoji23] [emoji23] nimecheka sanaa😀 kweli mwizi akikosa cha kuiba anaiba hadi majivu, sasa gizani huku wanadukua nini zaid ya vilio vya njaa, ukame, na vitu ambavyo vyepesi vyepesi
hivi ikulu yetu nani wanajenga?Hatari gani tena ???
Hizo njaa tunazolilia ndio wanatuingia kwa gia hiyo hiyo kuwa wanataka kutusaidia na kutupiga hapo hapo.😀 kweli mwizi akikosa cha kuiba anaiba hadi majivu, sasa gizani huku wanadukua nini zaid ya vilio vya njaa, ukame, na vitu ambavyo vyepesi vyepesi